Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,168
Unavyo-boil kwa wivu mpaka unatokota. .stop pretending...there were many Tanzanians including you in threads about SGR Kenya...usijifanye sasa pretender
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyo-boil kwa wivu mpaka unatokota. .stop pretending...there were many Tanzanians including you in threads about SGR Kenya...usijifanye sasa pretender
Unataka mizigo uletewe kwenu uione!?Sijasema hatuhitaji reli ya kisasa, bali kigezo kinachotumika ni kubeba mizigo mingi, je iko wapi hiyo mizigo iliorundikana bandarini. Kama reli iliopo sasa hivi tunashindwa kuitumia ipasavyo je unafikiri hiyo mpya ndio itakuwa tofauti? Hapa hatutafuti nani ana reli bora zaidi hapa duniani bali nani anaitumia reli yake ipasavyo, bahati nzuri siishi mbali sana na reli, siku ukiona treni ya mizigo inapita unajiuliza hivi bado zipo?
Sasa kwenye mizigo ni kama kwenye abiria kuna malori maelfu barabarani kuelekea nyanda za juu kaskazini humu ndani ya nchi, Rwanda, Burundi, Congo, Uganda na mabasi ya abiria vilevile yanasafirisha maelfu ya abiria, reli itafanya hayo yote.Sijasema hatuhitaji reli ya kisasa, bali kigezo kinachotumika ni kubeba mizigo mingi, je iko wapi hiyo mizigo iliorundikana bandarini. Kama reli iliopo sasa hivi tunashindwa kuitumia ipasavyo je unafikiri hiyo mpya ndio itakuwa tofauti? Hapa hatutafuti nani ana reli bora zaidi hapa duniani bali nani anaitumia reli yake ipasavyo, bahati nzuri siishi mbali sana na reli, siku ukiona treni ya mizigo inapita unajiuliza hivi bado zipo?
mwogope anayekuja nyuma yako sio yule aliyetangulia.wahenga walisema simba mwenda kimya ndio mla nyamaYou know nothing about TZ
Unataka mizigo uletewe kwenu uione!?
Kama hujui kitu kaa kimya. Kila kukicha magari mengi yanaharibu barabara.
Ikiwepo reli ya kisasa kuna madini mengi toka congo yatabebwa. Kuna mazao mengi toka mikoani yatabebwa. Usafirishaji utakuwa wa haraka. Tofauti na ya sasa inakimbia 30km/h.
Fanya uchunguzi na uache ubishi wa kitoto.
So wewe unataka tusijenge reli eti kwasababu Kenya wameshajenga?Watanzania kwa nadharia hatujambo. Kwani Kenya wakati wanajenga SGR yao TZ walikuwa wapi, wakati Kenya Airways inatamba, ATCL walikuwa wapi, makampuni karibu yote ya kimataifa yameweka HUB zao Kenya hata BBC, CGTN n.k. Tumejaa nadharia kama washabiki wa Yanga na Simba, kila shabiki anaamini timu yake ni bora lakini hawajiulizi mbona hawashindi mechi za kimataifa! Acha kuandika kama shabiki wa chama cha kisiasa, magari kuharibu barabara ndio awamu hii umeanza kuona hilo tatizo, ni kama vile raia anaeshabikia majumba kubomolewa wakati kila mtu anajua serikali haina uwezo kuwajengea raia wake makazi. Hakuna kigeni ambacho Nyerere hakukifanya na vyote imebaki historia.
mnyoosheSo wewe unataka tusijenge reli eti kwasababu Kenya wameshajenga?
Huo ni umbumbumbu na ukosefu wa mawazo ya kweli. Kwani hujui sisi tulishajenga reli ya Tazara kabla ya Kenya?
Hivi wewe unajua shirika la ndege la Africa mashariki ndege zake zilichukuliwa na wakenya baada ya kufa africa mashariki?
Au hujui kuwa Kenya ndio ilikuwa inajengwa na waingereza huku Tanganyika na Uganda zikufanywa mashamba?
Hujui kwamba Tanzania ilipitia katika kipindi kigumu sana miaka ya 80s baada sera za IFM kujitenga na nchi za kijamaa na kuzilazimisha ziige sera za kibepari huku zikiwekewa vikwazo vingi?
Ni ujinga wa hali ya juu kupinga mpango wa ujenzi wa reli huku ukiwa na sababu nyepesi hizi kama mtu asiye na vision. Reli ya kati ilijengwa na wakoloni wa kijeruman miaka ya zamani sana sambamba na reli ya kenya iliyojengwa na waingereza. Baada ya vita vya kikabila vya wazungu vilivyobatizwa vita vya kwanza vya dunia, mjeruman alinyang'anywa makoloni yake. Tanganyika ikaangukia mikononi mwa waingereza huku Burundi na Rwanda zikiangukia mikononi mwa wabeligiji.
Ni vyema ukasoma histori na kuijua sio kuja hapa jukwaani na habari nyepesi nyepesi hizo. We need development no matter how you guys shouting.
hapa sisi tunazungumzia michakato ya ujenzi wa reli inayofanyika sasa na si masuala ya vyama......Watanzania kwa nadharia hatujambo. Kwani Kenya wakati wanajenga SGR yao TZ walikuwa wapi, wakati Kenya Airways inatamba, ATCL walikuwa wapi, makampuni karibu yote ya kimataifa yameweka HUB zao Kenya hata BBC, CGTN n.k. Tumejaa nadharia kama washabiki wa Yanga na Simba, kila shabiki anaamini timu yake ni bora lakini hawajiulizi mbona hawashindi mechi za kimataifa! Acha kuandika kama shabiki wa chama cha kisiasa, magari kuharibu barabara ndio awamu hii umeanza kuona hilo tatizo, ni kama vile raia anaeshabikia majumba kubomolewa wakati kila mtu anajua serikali haina uwezo kuwajengea raia wake makazi. Hakuna kigeni ambacho Nyerere hakukifanya na vyote imebaki historia.
Pole sana kama ulikua haujui... Tanzania inaongoza EAC kwa kupokea Foreign investment. Kenya ni ya tatu baada ya Ugandahapa sisi tunazungumzia michakato ya ujenzi wa reli inayofanyika sasa na si masuala ya vyama......
asilimia kubwa ya nchi yetu ya Tanzania inajengwa na Watanzania wenyewe tofauti na wenzetu hao wakenya unaowasema...hao taifa lao linaongozwa na wageni ambao ni investors la sivyo wakitoka tu kenya hamna kitu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
kupokea siyo tatizo mnaweza kuwapokea lakini kibiashara mkashindwana nao...Pole sana kama ulikua haujui... Tanzania inaongoza EAC kwa kupokea Foreign investment. Kenya ni ya tatu baada ya Uganda
So wewe unataka tusijenge reli eti kwasababu Kenya wameshajenga?
Huo ni umbumbumbu na ukosefu wa mawazo ya kweli. Kwani hujui sisi tulishajenga reli ya Tazara kabla ya Kenya?
Hivi wewe unajua shirika la ndege la Africa mashariki ndege zake zilichukuliwa na wakenya baada ya kufa africa mashariki?
Au hujui kuwa Kenya ndio ilikuwa inajengwa na waingereza huku Tanganyika na Uganda zikufanywa mashamba?
Hujui kwamba Tanzania ilipitia katika kipindi kigumu sana miaka ya 80s baada sera za IFM kujitenga na nchi za kijamaa na kuzilazimisha ziige sera za kibepari huku zikiwekewa vikwazo vingi?
Ni ujinga wa hali ya juu kupinga mpango wa ujenzi wa reli huku ukiwa na sababu nyepesi hizi kama mtu asiye na vision. Reli ya kati ilijengwa na wakoloni wa kijeruman miaka ya zamani sana sambamba na reli ya kenya iliyojengwa na waingereza. Baada ya vita vya kikabila vya wazungu vilivyobatizwa vita vya kwanza vya dunia, mjeruman alinyang'anywa makoloni yake. Tanganyika ikaangukia mikononi mwa waingereza huku Burundi na Rwanda zikiangukia mikononi mwa wabeligiji.
Ni vyema ukasoma histori na kuijua sio kuja hapa jukwaani na habari nyepesi nyepesi hizo. We need development no matter how you guys shouting.
Pole sana kama ulikua haujui... Tanzania inaongoza EAC kwa kupokea Foreign investment. Kenya ni ya tatu baada ya Uganda
Bahati mbaya kabisa hunauwezo wa jambo lolote. Ninakuhurumia sana kijana kwa ufinyu wako wa mawazo.Mimi nafikiri mbumbu na mjinga wa hali ya juu ni wewe mwenyewe, bendera fuata upepo unayefikiri mawazo yako tu ndio ya maana na mtu mwingine akiwa na mtazamo tofauti unafikiri ni zumbukuku kama wewe. Kwa mtazamo wako finyu ni wapi nilipoandika napinga ujenzi wa reli. Unasema TZ ilipitia kipindi kigumu unafikiri kipindi hicho kililetwa nani, unazungumzia ujamaa, sasa huo ujamaa uliishia wapi mbona tumerudi kule kule kwenye ubepari. Kama wewe ujamaa umeusoma kwenye vitabu basi ujue wengine tulihuishi, mashamba ya kijamaa, foleni za sukari, unga wa yanga mashuleni, sabuni za magadi, usiwe na mishahara miwili, vazi la bungeni kaunda suti, n.k. Huna cha kunieleza, wewe shabiki tu ukifikiri unaelewa sana kuliko wengine. Bado una mawazo yaleyale ya 'ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA'.
Many people like you think they are wise only because they are older, but the reality is Age never matter, you may spend 50 years of your life watching TV, there u will only accumulate age, not wisdom,Mimi nafikiri mbumbu na mjinga wa hali ya juu ni wewe mwenyewe, bendera fuata upepo unayefikiri mawazo yako tu ndio ya maana na mtu mwingine akiwa na mtazamo tofauti unafikiri ni zumbukuku kama wewe. Kwa mtazamo wako finyu ni wapi nilipoandika napinga ujenzi wa reli. Unasema TZ ilipitia kipindi kigumu unafikiri kipindi hicho kililetwa nani, unazungumzia ujamaa, sasa huo ujamaa uliishia wapi mbona tumerudi kule kule kwenye ubepari. Kama wewe ujamaa umeusoma kwenye vitabu basi ujue wengine tulihuishi, mashamba ya kijamaa, foleni za sukari, unga wa yanga mashuleni, sabuni za magadi, usiwe na mishahara miwili, vazi la bungeni kaunda suti, n.k. Huna cha kunieleza, wewe shabiki tu ukifikiri unaelewa sana kuliko wengine. Bado una mawazo yaleyale ya 'ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA CHAMA'.
Many people like you think they are wise only because they are older, but the reality is Age never matter, you may spend 50 years of your life watching TV, there u will only accumulate age, not wisdom,
Unaonekana una miaka mingi duniani lakini uelewa wako ni wa kawaida sana,
Sioni sababu ya wewe kubeza ujamaa ikiwa Tanzania ilivyo Leo ni matunda ya Ujamaa, hapo ulipo unaweza safiri kokote nchini na ukanunua ardhi na ukajenga na ukaishi na Jamii tofauti pasi ya tatizo lolote,
Pamoja na hayo, Sioni mantiki ya Kubeza hata haya mema machache yanafanyika tena ukidhani sisi hatujui tunachofanya especially kwenye jukwaa hili.
Labda wewe ni mgeni kwenye Jukwaa hili, nakushauri rudi kwenye Yale majukwaa ya mapenzi na udaku.
Apparently you see a white elephant herehehehe,sgr ya kiki za mkulu.is it even economically viable😀