Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Updates: Septemba 28, 2017

Soga, kazi ya ujenzi wa kambi na reli ya SGR ukiendelea

DKz2W3vXcAAFNXR.jpg

DKz2W2HXUAAViwS.jpg

DKz2W5MWsAAGmaw.jpg
 
Hata ulaya wanajenga inchi ni wawakezaji nyerere kaua hiyo kwa sasa kuwapata wenzentu ni ndoto
 
Europé kuna wawakezaji zaidi ya 200 wanawapa watu ajili zaidi ya 2m bila wawakezaji huna uchumi
 
wanasema kazi imeanza oooh mradi utachukua watu 6000 kwa awamu aya wiki ilopita nimeenda kibaha kijiji cha soga wafanya kaz walioajiliwa wachache sana hata mia tano hawafiki niliishi kwakula miogo mibichi na kulala msikitini kusubili hiyo ajira lakin mwisho wa siku nkajiondokea zangu
 
Kiwanda cha kujenga mataruma ya zege kimekamilika? Sababu walisema kikikamilika ndio kazi itaanza kwa speed kubwa.
 
wanasema kazi imeanza oooh mradi utachukua watu 6000 kwa awamu aya wiki ilopita nimeenda kibaha kijiji cha soga wafanya kaz walioajiliwa wachache sana hata mia tano hawafiki niliishi kwakula miogo mibichi na kulala msikitini kusubili hiyo ajira lakin mwisho wa siku nkajiondokea zangu

Kuwa na utulivu na jifunze kufuatilia mambo kabla ya kuanza kulalamika. Kwa hatua ya ujenzi ya sasa hivi wameajiriwa watu 200. Kadri ujenzi unavyoendelea ndio nafasi za ajira zitaongezeka.

wanasema kazi imeanza oooh mradi utachukua watu 6000 kwa awamu aya wiki ilopita nimeenda kibaha kijiji cha soga wafanya kaz walioajiliwa wachache sana hata mia tano hawafiki niliishi kwakula miogo mibichi na kulala msikitini kusubili hiyo ajira lakin mwisho wa siku nkajiondokea zangu
Jifunze basi hata kuandika vizuri Kiswahili. Halafu ukiweza urudi tena kulalamika.
 
Kwani hiyo miradi ikifanywa kimyakimya tukaja kushituka imeisha tu kwani haijengeki...huuuuuuu ushamba wa kiki za kipuuzi ifike hatua tubafilike basi....kuleta maendeleo ni kaz ya serikali..serikali haijengi reri kutoa msaada kwa raia hapana big no..ila ni jukumu la serikali kutimiza wajibu wake...sasa inaanza kujengwa mitandao yote ya kijamiii mikelele tu reli reli reli reli...yani ndokma reli yakwanza kujengwa duniani...
Huuuu ushamba wa kijing..a bwana....
Raia lazima wajue maendeleo na mambo yanayofanyika ktk nchi yao. Kumbuka ya kuwa hii miradi haijengwi/haitengenezwi na marobot, bali ni watu (walio wengi ni raia).
Bila ya taarifa ya maendeleo ya mradi watakosa wafanyakazi/vibarua wapya, kwa kuwa miradi hii inakuwa kwa ikiendelea kutekelezwa kwa mda mrefu.

Biashara matangazo
 
wanasema kazi imeanza oooh mradi utachukua watu 6000 kwa awamu aya wiki ilopita nimeenda kibaha kijiji cha soga wafanya kaz walioajiliwa wachache sana hata mia tano hawafiki niliishi kwakula miogo mibichi na kulala msikitini kusubili hiyo ajira lakin mwisho wa siku nkajiondokea zangu

Pole sana kakangu nakuhurumia kwa hilo ,umeenda kutafuta kazi waikosa wabakia kula mihogo mibichi na kulala msikitini ? mungu aione Tanzania yetu majani sijui twaelekea wapi ,huyu uchwara kajipiga tu kifua bure na hamna kinachoendelea Tanzania. CCM yatudhulumu kweli.
 
Hahaha hivi wewe ni mtanzania au mkenya mbona kama unanichekesha wakenya mtatafuna wembe hii ni miaka miwili tu bado 8 na bado tupo kwenye mchakato wa kubadilisha katiba apewe 14 tayari bill ipo kwa speaker.
 
Eti bill ipo kwa speaker? wah!! Tanzania yetu kwisha,,,,,,sasa miaka miwili tu hamna ajira twabakia kula mihogo mibichi na kulala msikitini ,itakuaje hizo miaka 14 jamani,hawa bashite,majaliwa na huyu uchwara wao tutafanya mandamano tuwang'oe mamlakani,no chadema no peace in Tanzania, uchwara MUST go.
 
Kajambe ukalale kibera huko Tanzania haikuhusu.
 
Tanzania yanihusu hili taifa langu Babu,mbona wasema nilale kibera wakati mie mtanzania? haki yetu ,hatutaruhusu huyu uchwara na kikosi chake watudhulumu ,Tanzania yetu sisi wote na nilazima mtanzania apate ajira .Si jambo jema mtu aende kutafuta ajira abakie kula mihogo mibichi na kulala msikitini ,twaelekea wapi sisi kama taifa?? Manani mwenye rehema aturehemu sisi waja wake.
 
Back
Top Bottom