Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Duh! talk abt chasing ur own tail...you are building a 12 B dollar railway to serve a country of 11 million? this is a big white elephant...afadhali ile yetu inaenda Uganda na Sudan Kusini...bila shaka itajilipia kwa mizigo hizo...Rwanda's GDP hata haijafika hio 12 B...
emoji23.png
emoji23.png

ACHA WIVU WEWE
KAMJI KAKAMPALA HAIFIKII HATA ROBO JIJI LA MWANZA
 
Maendeleo ni muhimu lakini mpaka sasa sijaona kama reli iliopo imezidiwa na mizigo hata hizo treni zenyewe za mizigo sizioni, inayoonekana ni ile commuter train, Stesheni to G/Mboto.
 
Maendeleo ni muhimu lakini mpaka sasa sijaona kama reli iliopo imezidiwa na mizigo hata hizo treni zenyewe za mizigo sizioni, inayoonekana ni ile commuter train, Stesheni to G/Mboto.
safi kabisa...sometimes ni vizuri kusema ukweli mkuu
 
Iyo reli haijengwi kwa sababu ya Rwanda man achaga emotional,Dar to Moro itapunguza jam bandarini mizigo nadhani unaelewa Moro ni mji wa viwanda ,Moro kuna watu wengi wanakuja na kutoka Dar kwa kutumia bus sasa izo movement zitarahisishwa...iyo reli itakua nafaida kubwa kwetu uko Rwanda Burundi na Uganda ni baadae....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
DSM hakutakuwa na Rori au mabasi ya mikoani. Mizigo yote itachuliwa na reri hadi MOROGORO ambapo kutauwa na ICD, treni itapakia abiria kutoka DSM kwenda MORO kwa Muda wa risaa limoja.MABASI yote yatakuwa yanachua abalia kutoka Moro kupeleka mikoani. Awamu yapili ya ujenzi itaunga Dom to mwanza.itakuwa DSM to Mwanza masaa Sita. Hapo ndio Uchumui wa nchi unapokuja kupaa sio kujua tena kwani mzunguko wa Pesa utakuwa MKUBWA sababu ya usafiri wa haraka. Mtu unaweza enda mwanza Na kurudi kwa siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu mabus vipi kuhusu route za Dar tanga, Arusha,klm, na mikoa ya kusini?still mabus yatakuja....
lori kwa route izo pia lazima yatakuja pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo ni muhimu lakini mpaka sasa sijaona kama reli iliopo imezidiwa na mizigo hata hizo treni zenyewe za mizigo sizioni, inayoonekana ni ile commuter train, Stesheni to G/Mboto.
Dunia ya leo haiwezekani ukajihesabu una reli ya mwaka 1890 kwenye mataifa yenye reli, kwanza jifunze tofauti ya reli iliyopo na kwanini huoni ikibeba mizigo mingi, sio kama hakuna mizigo ya kupakia.
 
keep smelling buddy,the project ain't gonna stop...things are moving as they were planned.
hapa kazi tu.
hatutaki isimame ila hamna benefit mtapata toka kwa hio project...lol! taking goods to Rwanda..lol!
 
Wewe hili swala la reli yetu umelichachamalia utazani pesa inatoka mfukoni kwako
stop pretending...there were many Tanzanians including you in threads about SGR Kenya...usijifanye sasa pretender
 
Dunia ya leo haiwezekani ukajihesabu una reli ya mwaka 1890 kwenye mataifa yenye reli, kwanza jifunze tofauti ya reli iliyopo na kwanini huoni ikibeba mizigo mingi, sio kama hakuna mizigo ya kupakia.
Sijasema hatuhitaji reli ya kisasa, bali kigezo kinachotumika ni kubeba mizigo mingi, je iko wapi hiyo mizigo iliorundikana bandarini. Kama reli iliopo sasa hivi tunashindwa kuitumia ipasavyo je unafikiri hiyo mpya ndio itakuwa tofauti? Hapa hatutafuti nani ana reli bora zaidi hapa duniani bali nani anaitumia reli yake ipasavyo, bahati nzuri siishi mbali sana na reli, siku ukiona treni ya mizigo inapita unajiuliza hivi bado zipo?
 
Back
Top Bottom