Darkish
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 326
- 367
Bahati mbaya kabisa hunauwezo wa jambo lolote. Ninakuhurumia sana kijana kwa ufinyu wako wa mawazo.
Hujui hata unachosimamia bali unaongozwa na mihemko iliyochanhanyika na stress za maisha.
Tanzania inakua kwa kasi kubwa sana. Ujenzi wa reli hii utasaidia usafirishaji wa bidhaa nyingi ndani ya nchi na kufanya gharama ya bidhaa kushuka.
Kwasababu akili zako zimeanza kuwa na matege huwezi kuona chochote zaidi ya kupayuka ovyo ovyo bila point.
Ninachokushauri kama huna cha kuongea kaa pembeni sisi wenye akili tujadiliane. Unadhani kutamka kipindi cha ujamaa ndio kukiishi. Wewe ni bwana mdogo sana.
Maandishi yako uliyoyaandika yanaakisi umri wako. Wewe bado ni kinda.
Leta point zenye mashiko na kama hujui uliza tutakusaidia.
Sina mihemko kama unavyofikiri kinachonikera ni lugha unayotumia dhidi ya wachangiaji wengine, sio lugha ya watu waliostaarabika ndio maana nimekuvumilia kiasi cha kutosha je unafikiri lugha ya kejeli ni wewe peke yako ndio umebarikiwa kuijua au unahisi wote tuko ktk level ya upumbavu ulionao. Lugha kama hiyo itumie kwa wakenya kule
Battle: Dar es Salaam vs Nairobi