Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Duh! talk abt chasing ur own tail...you are building a 12 B dollar railway to serve a country of 11 million? this is a big white elephant...afadhali ile yetu inaenda Uganda na Sudan Kusini...bila shaka itajilipia kwa mizigo hizo...Rwanda's GDP hata haijafika hio 12 B...
emoji23.png
emoji23.png
Aliyekudanganya inaenda Uganda nani??Nyie safari Sudan kusini D😀😀
 
Tanzania yanihusu hili taifa langu Babu,mbona wasema nilale kibera wakati mie mtanzania? haki yetu ,hatutaruhusu huyu uchwara na kikosi chake watudhulumu ,Tanzania yetu sisi wote na nilazima mtanzania apate ajira .Si jambo jema mtu aende kutafuta ajira abakie kula mihogo mibichi na kulala msikitini ,twaelekea wapi sisi kama taifa?? Manani mwenye rehema aturehemu sisi waja wake.
Hahaha nyang'au shupa.
 
Duh! talk abt chasing ur own tail...you are building a 12 B dollar railway to serve a country of 11 million? this is a big white elephant...afadhali ile yetu inaenda Uganda na Sudan Kusini...bila shaka itajilipia kwa mizigo hizo...Rwanda's GDP hata haijafika hio 12 B...
emoji23.png
emoji23.png
Zitafikia tu ipo siku. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Halafu ww mjamaa umekaaga kudiss mazuri ya TZ, why???
 
Eti bill ipo kwa speaker? wah!! Tanzania yetu kwisha,,,,,,sasa miaka miwili tu hamna ajira twabakia kula mihogo mibichi na kulala msikitini ,itakuaje hizo miaka 14 jamani,hawa bashite,majaliwa na huyu uchwara wao tutafanya mandamano tuwang'oe mamlakani,no chadema no peace in Tanzania, uchwara MUST go.
tapatalk_1505662409266.jpeg
 
wanasema kazi imeanza oooh mradi utachukua watu 6000 kwa awamu aya wiki ilopita nimeenda kibaha kijiji cha soga wafanya kaz walioajiliwa wachache sana hata mia tano hawafiki niliishi kwakula miogo mibichi na kulala msikitini kusubili hiyo ajira lakin mwisho wa siku nkajiondokea zangu

Kwa kuwa tu upo chadema haimaanishi kwamba ni lazima upinge kila kitu, hii Reli ikiisha na kufanikiwa itasaidia Watanzania na siyo CCM, hata wewe au ndugu na jamaa zako itawasaidia, kwanza hata chadema ikija kufanikiwa kuingia madarakani itawasaidia pia kuanzia CCM ilipoachia hiyo ndiyo maana ya Upinzani, huoni kama chadema ikija kuchaguliwa ikakuta Reli imeisha itakuwa na imepunguziwa kazi kwa namna fulani?
Hata Mbowe mwenyewe mwenye chadema anakubali baadhi ya mambo na haongei negative pasipo hata sababu kama wewe mwenzangu na mimi ambaye hata abc za chadema huzijui!
 
WEWE Barbarosa acha kuwa na mtizamo wa kisiasa kwa kila mtu mimi ni DEREVA na pia ni fundi wa magari mradi ulipozinduliwa tuliambiwa tutapata ajira nika peleka CV zangu nikaenda kijiji cha soga ambako kuna makao makuu ya kampun ya waturuki main contractor YAPI MERKEZ nimesota hapo kwa miez kadhaa pamoja na watanzania kutoka mikoa mbalimbali tukisubili kwa hamu ajira za mradi ambao ulizinduliwa miez kadhaa iliopita hilo nashangaa tunavyo ambiwa kwamba ujenzi umeanza [HASHTAG]#USIWENAMAWAZOMGANDO[/HASHTAG]
 
mkuu wanatengeneza tuta kwanza, kiwanda cha sliper kikikamilika wanaanza kutandaza reli so lazima madereva mtaitajika
 
Kuwa na utulivu na jifunze kufuatilia mambo kabla ya kuanza kulalamika. Kwa hatua ya ujenzi ya sasa hivi wameajiriwa watu 200. Kadri ujenzi unavyoendelea ndio nafasi za ajira zitaongezeka.

SAWA ILA MWENZIO NIMEFIKA JIKON ZINAPOJENGWA CAMP ZA WAFANYAKAZ NA WALIOAJIRIWA WANAONEKANA 200 HAWAFIKI BHANA
 
Picha za Hii SGR phase 1 ziko wapi wakichapa kazi Usiku na Mchana...hehehehe.
 
Pole sana kakangu nakuhurumia kwa hilo ,umeenda kutafuta kazi waikosa wabakia kula mihogo mibichi na kulala msikitini ? mungu aione Tanzania yetu majani sijui twaelekea wapi ,huyu uchwara kajipiga tu kifua bure na hamna kinachoendelea Tanzania. CCM yatudhulumu kweli.
We ni mtanzania?
 
Eti bill ipo kwa speaker? wah!! Tanzania yetu kwisha,,,,,,sasa miaka miwili tu hamna ajira twabakia kula mihogo mibichi na kulala msikitini ,itakuaje hizo miaka 14 jamani,hawa bashite,majaliwa na huyu uchwara wao tutafanya mandamano tuwang'oe mamlakani,no chadema no peace in Tanzania, uchwara MUST go.
Huyu si mtanzania Bali punga wa Mombasa
 
Back
Top Bottom