Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Huwezi pata mkenya akikimbilia threads za Watz...but wao hutiririka hapa na news zao
 
Good thing is we are self funding this huge project,
Kenya with huge cooked GDP can't finance a 10km road.
yes you are financing it...which means it will take 50 years b4 u complete it...since when has a poor country with a GDP of 47B financed a 12B dollar project? hehe...you might get the money but it will take ages...as a result, it makes more sense to take a loan, finish the railway quickly then the project will pay back the creditors....win win situation...but i congratulate u for going electric...hiyo ni poa sana...hata wa Nigeria wameanza kutetemeka jinsi EA inavokimbia...walisikia trains za Addis, wakaskia tena BRT ya Dar, na wataskia tena electric SGR ya TZ...wakati wao hawana chochote cha maana...yaani nigeria is very corrupt...i heard their SGR took almost 20B but if u see the stations? lol!
 
Good thing is we are self funding this huge project,
Kenya with huge cooked GDP can't finance a 10km road.
Cooked GDP, umewahi fika Kenya? Umewahi fika Mombasa? na je Nairobi? Kama umefika sawa lakini kama bado basi fika huku kwanza ndio ulete vijembe hivyo kama Geza Ulole na Annael, Watu ambao hawawezi kubali ukweli
 
Haters..traim zenu za chuma chakavu zinaendeleaje.. Naona kick imeisha
zinatengeneza pesa kwel kwel....usafiri kati ya Mombasa na Nairobi ume imarika sana...ajali za barabarani zimepungua na wakati wa usafiri umekatwa kwa asilimia hamsini....satisfied? hehe...cargo trains begin operations in the next 3 months to take ugandan goods to from Mombasa to Nairobi...it will take only 24 hrs from the previous 7 days...lol! should i continue? we have 40 ultra-modern stations between the two cities...the Nairobi one looks like an airport and the Mobasa one looks like you are in London...the tickets are bought online while before you had to make a line to give cash to matatu owners...the benefits are unimaginable...we may have diesel trains but the benefits we are raking in from them, TZ can only dream of that in 20 years...usisahau kuwa tunaeza tuka replace trains wakakti wowote...kwa hiyo, sina hofu yoyote..kazi iko kwenu sasa...nyie ndio mko bado mnajenga...
 
Cooked GDP, umewahi fika Kenya? Umewahi fika Mombasa? na je Nairobi? Kama umefika sawa lakini kama bado basi fika huku kwanza ndio ulete vijembe hivyo kama Geza Ulole na Annael, Watu ambao hawawezi kubali ukweli
Mombasa ile yenye madampo kila mahala.. Au mombasa gani unayoiongelea?
 
Station utaziona. ..apa ndio palipobaki nyie kufananisha lakini sio nertwok nzima maana iyo ishakua nje ya uwezo. ...well station zitakua za kawaida zile zenu zitakua nzuri zaidi...haya furahi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hivi hawajui aina ya train tunayojenga, sababu naona wanaanza kutafuta viji-loopholes vya kucompete na railway yao which is unspeakable insane,
frontside-view-of-a-modern-urban-short-line-electric-train-DBRM6T.jpg

Hizi train zetu ni way authentic hata kama tungekua tunashukia chini ya miti haiwezekani zinafanana na mizinga ya Kenya
 
lol! vipi kuhusu hela? naskia magu anaranda randa Afrika Kusini akimramba Zuma matako ili amwombee loan toka BRICS...
 
Kwann unaumia sana Au tunatumia kodi zenu?lol yaani hili jambo linawasumbua sana hawa jamaa lakini mtazoea tu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
la hasha! I'm asking important economic questions...remember when we were building ours? the same questions came from tanzanians...we answered them without fear of contradiction
 
la hasha! I'm asking important economic questions...remember when we were building ours? the same questions came from tanzanians...we answered them without fear of contradiction
Mlishindwa kujifund ata km 20 kila kitu mchina lol nyie jamaa ni vituko ....can you imagine tumetoa USD1.2bn. ...Na mbona haitalala kabla hazijaisha inaungwa kwenda mbele pesa zitakuja tu...manake tutaounguza madeni yasioyalazima!!
KRA hucollect pesa za maonyesho Au? Kwann mnakopa hadi mambo yaliyondani ya uwezo au ni rushwa imezidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya mmetoa 1.2bn..where will you get the remaining 11B? hahahaha...ama zuma atawaombea loan? hahahahaa milifanya eti yenu haitoki kwa loan za kichina...sasa mwenznu ndio hio ameona mmegonga ukuta sasa anatafuta mfadhili toka SA ambayo ni nchi maskini pia...
 
Sasa project ndio kwanza imeanza kwani hatukusanyi kodi tena?miaka mitatu ijayo hatutaweza kufund tena km 200? Acha kujitekenya....ni priority alafu reli ni yetu itajengwa taratibu tu mawe yakija kutoka kwa wahisani itakua poa lakini let me tell you even world bank wakiona phase one imekua na imefanikiwa wanaweza toa pesa

ukweli mtaweza kupata hela eventually but with how many years?? kumbuka tanzania ni nchi maskini kamatu Kenya... fanya hio hesabu 200km in 3 years...how many km do you need? more than 1000km.... for me it would have been better to take the loan finish thr project in 5 years then pay it back with proceeds from the project...coz it will take more than 15 years to complete it with ur own money...also, other projects will be put on hold for 15 years since u are building an expensive railway...makosa ni kumamini mwalimu wa kemia afanye decisions za Economics..mimi ninamaliza mwaka wangu wa nne in Econ and from what I can see, ur SGR is a huge mistake...
 
Back
Top Bottom