Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,119
- 173,952
Mtu ambaye anawaza kwa sh500 atakuwa na hela ya lorry kweli?Daaa! ananikopesha ? kabisaaa!!,....huyo mbona Mkuu bonge la fursa mtumie barabara!! dawa yake mkope ununue Gari la mchanga! usikope vitu vidogo vidogo! ...mtegee akope mapesa mengi Bank! then mshawishi akukopeshe weye!
Anza harakati!!! tena huyo ndo mzuri!! siku ukiwa huna na wewe mkope tena! yaani iwe nyumba ya kukopeshana tyuuu!! hkn sijui eti baba atoe karo peke yake no! mnagawana watoto kuwasomesha!