Relationship is a team work, wanawake msiyachukulie mahusiano kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya kiuchumi

Soma vizuri vitabu vya dini unayoiamini utakuta kumtunza mke ni jukumu la mume.

Sasa acha kulialia, ukimpata ambaye na yeye ana income mkae chini wekaneni sawa kwamba kwenye nyumba utafanya abcd na yeye akusaidie efg maisha yanakwenda.

Tatizo mnaogopa kuongea na wake zenu mnakuja kuwasimanga hapa JF.

Mimi kwangu habari sijui za gesi ya kupikia shopping za watoto na mambo madogomadogo huwa sihusiki nayo, nadeal na viti vya kiume, lakini hii pia inategemea mke wako anafanyakazi? Au ana source of income?

Kulialia will not help you, vunja ukimya sema naye.
Kunywa soda mkuu ushushie comment yako yenye madini tupu

Kingsmann
 
From the start,
Mahusiano always Ni suala la TIMING ya Nani anaweza kumuwin au kumcontrol mwenzake.

Na kwa kawaida,
Wanawake huwa wako smart Sana kwenye kuling'amua ilo Tangu sikU ya kwanza UNAMTONGOZA na Kuanzisha nae mahusiano.

Kwaiyo,
The way utakavyoonesha udhaifu wako katika kuyahitaji mahusiano yake, ndivyo atakavyoutumia udhaifu huo ku-take control na akutawale anavyo taka. Hasa kwenye suala la kiuchumi (KUKUOMBA OMBA ELA OVYO).

Ushaur wangu,
Chezesha karata zako vizuri from the start, ficha sana hisia zako kwako ili usionyeshe madhaifu yako kimisimamo kiuchumi.

Muonyeshe misimamo yako dhabiti kwny matumizi yako ya fedha, budget zako na I come zako.

Wewe Ni Mwanaume,
hebu simama imara sana Usikubali mahusiano yayumbishe uchumi wako.

Ukiwin Hilo,
Itakuepusha na Wanawake kukupelekesha pelekesha ovyo na kuvuruga bajeti na uchumi wako.
 
I gree with you big brother
 
I gree with you big brother
Exactly,
Unachopaswa kujua kwa ulimwengu tuliopo sasa,

Kivutio kikubwa Cha mahusiano kwa mwanaume,
umekua Ni status yako ya kiuchumi.

Kwaiyo usikubali mwanamke avuruge na ayumbishe uchumi wako kwa namna yoyote ile.

Kwa maana,
Ukishayumba kiuchumi,
ile ladha ya mapenz ulokua unapata mwanzo ukiwa fit kiuchumi, itakua tofauti na ile ladha utokayopewa ukiwa tayar umechoka kiuchumi.

Mwanamke anaweza kukusababishia ufilisike kwa kusimamia UANAUME WAKO kumgharamia matumizi yake binafsi na utatuzi wa shida zake mwenyewe,

Ila tambua ukishafilisika tayar,
Yeye ndo atakudharau na kukubeza kwa kushindwa kusimamia uchumi wako Kama mwanaume.

Na tena ukiwa dhaifu zaidi,
Utaombwa Ela ya kipodozi na make ups wakati akijua kabisa jioni huna uhakika hata wa kula wali MAHARAGE.

Na utambue kwamba,
Ukishafilisika tayar utapoteza mvuto pia kwa wanawake wengine.

Na ukishakosa mvuto kwingine, unakumbwa na upweke.

Upweke uzaa stress na Sonoma,
Mara presha, kiharusi na kuanza kutembea unaongea peke ako njiani.
 
Dah msimamo binafsi ni kitu muhimu ,hususani kwenye mahusiano , coz maanguko mengi ya wanaume kiuchumi yanatokana na kuwaendekeza wanawake
 
Exactly,
Unachopaswa kujua kwa ulimwengu tuliopo sasa,

Kivutio kikubwa Cha mahusiano kwa mwanaume,
umekua Ni status yako ya kiuchumi.

Kwaiyo usikubali mwanamke avuruge na ayumbishe uchumi wako kwa namna yoyote ile.

Kwa maana,
Ukishayumba kiuchumi,
ile ladha ya mapenz ulokua unapata mwanzo ukiwa fit kiuchumi, itakua tofauti na ile ladha utokayopewa ukiwa tayar umechoka kiuchumi.

Mwanamke anaweza kukusababishia ufilisike kwa kusimamia UANAUME WAKO kumgharamia matumizi yake binafsi na utatuzi wa shida zake mwenyewe,

Ila tambua ukishafilisika tayar,
Yeye ndo atakudharau na kukubeza kwa kushindwa kusimamia uchumi wako Kama mwanaume.

Na tena ukiwa dhaifu zaidi,
Utaombwa Ela ya kipodozi na make ups wakati akijua kabisa jioni huna uhakika hata wa kula wali MAHARAGE.

Na utambue kwamba,
Ukishafilisika tayar utapoteza mvuto pia kwa wanawake wengine.

Na ukishakosa mvuto kwingine, unakumbwa na upweke.

Upweke uzaa stress na Sonoma,
Mara presha, kiharusi na kuanza kutembea unaongea peke ako njiani.
Mkuu hongera sana, post nzuri sana hii.
 
Kumpa mwanamke pesa sio shida,,, ila tatizo linaanza pale ambapo anaona kuwa she's entitled kupewa pesa kama member wa loyal family

Kama mwanamke anakufanya uhisi on her arms ni your only refuge huyo mpe tu yaaan mpe because unajua fika kuwa pesa haijaenda bure
 
Soma vizuri vitabu vya dini unayoiamini utakuta kumtunza mke ni jukumu la mume.

Sasa acha kulialia, ukimpata ambaye na yeye ana income mkae chini wekaneni sawa kwamba kwenye nyumba utafanya abcd na yeye akusaidie efg maisha yanakwenda.

Tatizo mnaogopa kuongea na wake zenu mnakuja kuwasimanga hapa JF.

Mimi kwangu habari sijui za gesi ya kupikia shopping za watoto na mambo madogomadogo huwa sihusiki nayo, nadeal na viti vya kiume, lakini hii pia inategemea mke wako anafanyakazi? Au ana source of income?

Kulialia will not help you, vunja ukimya sema naye.
Hivi umemuelewa mwandishi aliposema kuwa wanawake hawajui majukumu ya mke kwa mume?! Au umejitoa ufahamu hapo hilo eneo?!
 
Back
Top Bottom