Relationship is a team work, wanawake msiyachukulie mahusiano kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya kiuchumi

Daaa! ananikopesha ? kabisaaa!!,....huyo mbona Mkuu bonge la fursa mtumie barabara!! dawa yake mkope ununue Gari la mchanga! usikope vitu vidogo vidogo! ...mtegee akope mapesa mengi Bank! then mshawishi akukopeshe weye!

Anza harakati!!! tena huyo ndo mzuri!! siku ukiwa huna na wewe mkope tena! yaani iwe nyumba ya kukopeshana tyuuu!! hkn sijui eti baba atoe karo peke yake no! mnagawana watoto kuwasomesha!
Mtu ambaye anawaza kwa sh500 atakuwa na hela ya lorry kweli?
 
Choose wisely, ukiona mwanamke anajivua responsibility kwenye maisha yake achana nae mazima tafta mwanamke ambaye anapenda kushirikiana katika kujijenga!

Wanawake aina hii wengi tunawa overlook tu! Aina hii hawabandiki makope, makucha na wanapenda kujishughulisha zaidi na kuongea future!
Wengi walipigana vita vya maji maji na vya uganda species hizo zikapotea zimebaki hizo zingine acha tushughulike nazo kisawasawa.
 
I hope everyone is fine,

Mahusiano yeyote ili yaweze kufanikiwa inabidi pande zote mbili ziwe na ushirikiano, ila hali ni tofauti kabisa kwa asilimia kubwa ya wanawake tulio nao, wamegeuza mahusiano kama ndo kitega uchumi kikuu kwao.

Kwa dunia ya sasa sio swala la ajabu kukuta mwanamke akiwa na wanaume zaidi ya watano na kote huko akiwa na lengo moja tuu la kuchuma.

Ndoa nyingi zinayumba sababu ya hili kundi kubwa la wanawake wasiojua majukumu yao katika mahusiano na ndoa kwa jumla na badala yake wanakua wanalenga kwenda kupata pumziko la kiuchumi, na kuwaachia wanaume mzigo mkubwa wa kuendesha familia.

Malalamiko mengi ya wanawake katika mahusiano ni kuhusu wanaume kutowapa fedha ,na kutotatua shida zao tuu, lakini hawataki kukubaliana na ukweli kwamba , ili waweze kuhudumiwa 100% ,inabidi na wao wafanye majukumu yao kama inavyopaswa ili kujenga mahusiano imara.

Wanaume wengi wanaishia kwenye msongo wa mawazo na kutofurahia maisha ya ndoa kutokana na baadhi ya wanawake wabinafsi wasiotaka kujiongeza na kusubiri kufanyiwa kila kitu.

Kwa dunia ya leo ukiweza kuepukana na aina hii ya wanawake ,utaishi maisha ya amani na furaha siku zote.
ٱلرِّجَالُ قَوَّٰمُونَ عَلَى ٱلنِّسَآءِ بِمَا فَضَّلَ ٱللَّهُ بَعۡضَهُمۡ عَلَىٰ بَعۡضٖ وَبِمَآ أَنفَقُواْ مِنۡ أَمۡوَٰلِهِمۡۚ فَٱلصَّٰلِحَٰتُ قَٰنِتَٰتٌ حَٰفِظَٰتٞ لِّلۡغَيۡبِ بِمَا حَفِظَ ٱللَّهُۚ وَٱلَّٰتِي تَخَافُونَ نُشُوزَهُنَّ فَعِظُوهُنَّ وَٱهۡجُرُوهُنَّ فِي ٱلۡمَضَاجِعِ وَٱضۡرِبُوهُنَّۖ فَإِنۡ أَطَعۡنَكُمۡ فَلَا تَبۡغُواْ عَلَيۡهِنَّ سَبِيلًاۗ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيّٗا كَبِيرٗا

(Dr. Mustafa Khattab)
Men are the caretakers of women, as men have been provisioned by Allah over women and tasked with supporting them financially. And righteous women are devoutly obedient and, when alone, protective of what Allah has entrusted them with. And if you sense ill-conduct from your women, advise them ˹first˺, ˹if they persist,˺ do not share their beds, ˹but if they still persist,˺ then discipline them ˹gently˺. But if they change their ways, do not be unjust to them. Surely Allah is Most High, All-Great.

(Ali Muhsin Al-Barwani)
Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.

-Surah An-Nisa', Ayah 34

Mkuu hiyo ilishapangwa ...labda mwanamke mwenyewe atake kukusaidia, coz inaongeza upendo na huruma baina yenu. Ila akiamua kukausha hana makosa
 
Mtu ambaye anawaza kwa sh500 atakuwa na hela ya lorry kweli?
Fanya hivi hiyo mia tano unasoma mchezo??? ....... najua atakuwa mfanya kazi of course km umesoma utaoa msomi tu!! sababu ndo unao kutana nao mara nyingi huko shuleni na makazini!!

sasa hao wanakopesheka bana! kwenye mabenki huko!!...Mlie timing tu!!!....mbona hapo utajiri tele mwana!
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom