Relationship is a team work, wanawake msiyachukulie mahusiano kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya kiuchumi

ukweli mtupu Ila dini ziangalie namna yakufuta maandishi yao kwenye biblia

Mfano atazaa kwauchungu
Uislam nawao wanayao
 
wote wanaodhani via vyao vya uzazi nisuluhisho la kiuchumi or per income
Screenshot_20210918-201346.png
 
Mimi nafikiri usinge base zaidi Kwa Wana ndoa maana umeruhusu hoja yako kuwa dhaifu inshu si kwenye ndoa maana si Tu vitabu vya dini hata kene Mila zetu ni wajibu wa mwanaume kuhudumia na ndosehemu anapopatia heshima yake km mume sema kuna hawa wanawake wanje hawa ndoshida yaani utajuta hawa ndio uwasemehe kuwa km ni mahusiano bhasi ni wajibu wa wote kuwajibika.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
I hope everyone is fine,

Mahusiano yeyote ili yaweze kufanikiwa inabidi pande zote mbili ziwe na ushirikiano, ila hali ni tofauti kabisa kwa asilimia kubwa ya wanawake tulio nao, wamegeuza mahusiano kama ndo kitega uchumi kikuu kwao.

Kwa dunia ya sasa sio swala la ajabu kukuta mwanamke akiwa na wanaume zaidi ya watano na kote huko akiwa na lengo moja tuu la kuchuma.

Ndoa nyingi zinayumba sababu ya hili kundi kubwa la wanawake wasiojua majukumu yao katika mahusiano na ndoa kwa jumla na badala yake wanakua wanalenga kwenda kupata pumziko la kiuchumi, na kuwaachia wanaume mzigo mkubwa wa kuendesha familia.

Malalamiko mengi ya wanawake katika mahusiano ni kuhusu wanaume kutowapa fedha ,na kutotatua shida zao tuu, lakini hawataki kukubaliana na ukweli kwamba , ili waweze kuhudumiwa 100% ,inabidi na wao wafanye majukumu yao kama inavyopaswa ili kujenga mahusiano imara.

Wanaume wengi wanaishia kwenye msongo wa mawazo na kutofurahia maisha ya ndoa kutokana na baadhi ya wanawake wabinafsi wasiotaka kujiongeza na kusubiri kufanyiwa kila kitu.

Kwa dunia ya leo ukiweza kuepukana na aina hii ya wanawake ,utaishi maisha ya amani na furaha siku zote.
Mada sjaelewa kabisa alielewa naomba anisaidie
 
Kamke kangu Bana!! ni mimi nafanya kila kitu!! kenyewe kame kaa tu!! kakinikalia vibaya hata nakaogesha kwanza ni kadogo kwangu kiumri! km saba hivi huyu si mdogo wangu kabisa!?

sina sababu ya kulia lia!!...pili tangu nimpate huyu mwanamke sijawahi kulia njaa tena!! ....zaidi napanda na kupanda skuwahi kufikiri naweza pata ghorofa!! .....haya niliyaona kwa wahindi tu! lkn wkt naka tongoza tu mambo yangu hayoooo!

Bibi nyachiro kaniuma sikio fast mjukuu wangu kamatia hapo hapo!!! ukiacha utajiju...si ikawa kweli mpaka leo! bana weee huyu ni huyu tu!1 niligundua kitu kimoja nikichepuka tu hela zinapoteaaaaa!
 
kukununulia soda ya 500 atakulipisha eti bby nakukopesha😂
Daaa! ananikopesha ? kabisaaa!!,....huyo mbona Mkuu bonge la fursa mtumie barabara!! dawa yake mkope ununue Gari la mchanga! usikope vitu vidogo vidogo! ...mtegee akope mapesa mengi Bank! then mshawishi akukopeshe weye!

Anza harakati!!! tena huyo ndo mzuri!! siku ukiwa huna na wewe mkope tena! yaani iwe nyumba ya kukopeshana tyuuu!! hkn sijui eti baba atoe karo peke yake no! mnagawana watoto kuwasomesha!
 
Kamke kangu Bana!! ni mimi nafanya kila kitu!! kenyewe kame kaa tu!! kakinikalia vibaya hata nakaogesha kwanza ni kadogo kwangu kiumri! km saba hivi huyu si mdogo wangu kabisa!?

sina sababu ya kulia lia!!...pili tangu nimpate huyu mwanamke sijawahi kulia njaa tena!! ....zaidi napanda na kupanda skuwahi kufikiri naweza pata ghorofa!! .....haya niliyaona kwa wahindi tu! lkn wkt naka tongoza tu mambo yangu hayoooo!

Bibi nyachiro kaniuma sikio fast mjukuu wangu kamatia hapo hapo!!! ukiacha utajiju...si ikawa kweli mpaka leo! bana weee huyu ni huyu tu!1 niligundua kitu kimoja nikichepuka tu hela zinapoteaaaaa!

Pinned
 
Back
Top Bottom