Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,195
- 174,325
Sucks anyways! Ni kujikaza tu lakini hamna jinsiwell said, wakati mwingine wanatuona tunajipendekeza
teh teh
Sucks anyways! Ni kujikaza tu lakini hamna jinsiwell said, wakati mwingine wanatuona tunajipendekeza
teh teh
wote wanaodhani via vyao vya uzazi nisuluhisho la kiuchumi or per income
Ndo hivyo tunajikaza hadi kielewekeSucks anyways! Ni kujikaza tu lakini hamna jinsi
kuna siku nilipaka ila ilikuwa ya kitu spesho, japo niliteseka sana
😂😂😂😂😂😂 Mungu anakuona ujue lol!!! Hahahahaha
niache bhana
😂😂😂😂 nini kilichokutesa?
Kazi ipo yani mtachagua kuzika au kusafirisha
Tutaachia serikali izikeKazi ipo yani mtachagua kuzika au kusafirisha
Sio poa pesa inatesa wanawake jamani😂Tutaachia serikali izike
Hebu hukoooo, yuda alikua mwanamke???😁Sio poa pesa inatesa wanawake jamani😂
Mada sjaelewa kabisa alielewa naomba anisaidieI hope everyone is fine,
Mahusiano yeyote ili yaweze kufanikiwa inabidi pande zote mbili ziwe na ushirikiano, ila hali ni tofauti kabisa kwa asilimia kubwa ya wanawake tulio nao, wamegeuza mahusiano kama ndo kitega uchumi kikuu kwao.
Kwa dunia ya sasa sio swala la ajabu kukuta mwanamke akiwa na wanaume zaidi ya watano na kote huko akiwa na lengo moja tuu la kuchuma.
Ndoa nyingi zinayumba sababu ya hili kundi kubwa la wanawake wasiojua majukumu yao katika mahusiano na ndoa kwa jumla na badala yake wanakua wanalenga kwenda kupata pumziko la kiuchumi, na kuwaachia wanaume mzigo mkubwa wa kuendesha familia.
Malalamiko mengi ya wanawake katika mahusiano ni kuhusu wanaume kutowapa fedha ,na kutotatua shida zao tuu, lakini hawataki kukubaliana na ukweli kwamba , ili waweze kuhudumiwa 100% ,inabidi na wao wafanye majukumu yao kama inavyopaswa ili kujenga mahusiano imara.
Wanaume wengi wanaishia kwenye msongo wa mawazo na kutofurahia maisha ya ndoa kutokana na baadhi ya wanawake wabinafsi wasiotaka kujiongeza na kusubiri kufanyiwa kila kitu.
Kwa dunia ya leo ukiweza kuepukana na aina hii ya wanawake ,utaishi maisha ya amani na furaha siku zote.
Haieleweki yaniMada sjaelewa kabisa alielewa naomba anisaidie
Daaa! ananikopesha ? kabisaaa!!,....huyo mbona Mkuu bonge la fursa mtumie barabara!! dawa yake mkope ununue Gari la mchanga! usikope vitu vidogo vidogo! ...mtegee akope mapesa mengi Bank! then mshawishi akukopeshe weye!kukununulia soda ya 500 atakulipisha eti bby nakukopesha😂
Kamke kangu Bana!! ni mimi nafanya kila kitu!! kenyewe kame kaa tu!! kakinikalia vibaya hata nakaogesha kwanza ni kadogo kwangu kiumri! km saba hivi huyu si mdogo wangu kabisa!?
sina sababu ya kulia lia!!...pili tangu nimpate huyu mwanamke sijawahi kulia njaa tena!! ....zaidi napanda na kupanda skuwahi kufikiri naweza pata ghorofa!! .....haya niliyaona kwa wahindi tu! lkn wkt naka tongoza tu mambo yangu hayoooo!
Bibi nyachiro kaniuma sikio fast mjukuu wangu kamatia hapo hapo!!! ukiacha utajiju...si ikawa kweli mpaka leo! bana weee huyu ni huyu tu!1 niligundua kitu kimoja nikichepuka tu hela zinapoteaaaaa!