Relationship Handling: Moja ya sababu zinazotukwamisha wajisiriamali

Rabonn

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
5,733
10,928
USHAURI KABLA YA HABARI.

JITAHID SANA KUCHUNGA UHUSIANO WAKO NA MTEJA WAKO.ILE KUKUAMINI NA KUKUFANYA UWE RAFIKI HAINA MAANA URAFIKI SHOULD COME IN FIRST PLACE..ACHA KAZI IKAE MBELE MAANA NDIO SABAU YA MAHUSIANO YENU..UKIHARIBU KAZI UMEHARIBU MAHUSIANO NA UMEHARIBU BIASHARA YAKO MWENYEWE.

Wakuu habari ya muda huu.

Bila kupoteza muda, naandika ujumbe huu nikiwa nimekwazwa kidogo na pia am so dissappointed na sisi tulio wajisiriamali wadogo wa kitanzania. Haina maana kwamba tuhuma hizi zinawahusu wapambanaji wote but most of them so please dont feel offended ila ni katika harakati za kujengana tu tusaidiane kufika kule tunakofikiri tunataka kufika. Japo Jambo hili linanihusu binafsi lakini naamini wapo wengine wameshakutana na scennario za namna hii.

Twende kwenye mada:

Katika harakati za kupambana na umasikini binafsi najishughulisha na ujasiriamali mdogo mdogo katika masuala ya teknolojia za wenzetu, information technology. Nimekua nikifanya project ndogo ndogo na za kati za software development. Nafanya project zangu binafsi na nyingine ni kazi za watu yani ile one time deal then unamkabidhi mtu kazi yake anapambana kimpango wake. Lakin pia kuna kazi ambazo mtu unamfanyia kisha anaku contract kwa ajili ya ku provide technical support kwenye system ulio develop.

Sasa basi, nimejikuta i have a significant number of projects (za kwangu na watu ambazo nime develop pia nimekua contracted kuzi support) ambazo most of them ni web-based hivyo nimekua nazi host kwa hosting service providers wa kibongo tu hapa (sitapenda kuwataja) na everything has been going so well MPAKA SIKU MOJA nilipokutana na mjasiriamali mmoja hapa hapa JAMII FORUM ambaye nae anafanya shughuli za WEB HOSTING. Basi kwaku lengo ni kupeana support sote tutimize malengo, nikawa interested kufanya nae kazi baada ya kujiridhisha kuwa anaweza kufanya kazi. Unaweza ukajiuliza nilijiridhishaje na mtu simjui ? Nilianza kumpa vija kazi vidogo vidogo awe ana host kwake na he did tremendous work.

E BWANA EE kazi ikawa kazi na ofcz MAHUSIANO YA KIKAZI yakafika mbali as you understand hiz kazi za tech tunafanya 24/7 so ni kawaida tu kupiga au kupigiwa cm za kazi hata usiku wa manane pale unapoona mambo hayaendi au system zinaleta shida. huyu jamaa akawa hana shida kabisa na HILI SASA LIKAPELEKEA UKARIBU ZAID WA KIKAZI mpaka tukawa kama washkaji kimtindo flani japo hatujawahi onana licha ya kwamba tuko hapa hapa town.

SASA UHUSIANO HUU wa kishkaji unataka kuleta. Kivp? ni hivi.
baada ya kuona we are doing fine, i decided to expand hiv vi deal vidogo vidogo ambavyo nimekua nampa katika namna kwamba anipe special account with space ambapo all of tojects nitazi centralize kwenye single account for easy management. Tukalipiana fresh na akafanya hivyo. BAADA YA MUDA nikaanza ku experience changes.

1.una address a problem that he must act upon immediatelly, anakuahidi wanalifanyia kazi ila aisee utangoja mpaka siku inaweza ikaisha

2. unapiga simu ku followup what is going on mbona naona ishu iko vile vile, simu itaita mpaka mara 3 mara 4 no picking up.. and no clling back i hope they see missed calls. [POOR CUSTOMER SERVICE]

3. ukimpata baadae FREELY KABISA BILA HOFU anakwambia nilikua sijui hospitali mara nilikua town nafuatilia issue flan (yan issue zake binafsi analeta) kisa tu urafiki. [NO TEAM WORK AND DELEGATION OF TASKS AT OFFICE]

SASA KWA MTINDO HUU vijana wa kitanzania kweli mnaponyimwa kazi kwa kushindwa kuuaminiwa mtataka kuamini kwamba MNAONEWA AU?????

KWA MTINDO HUU KWANINI WATU WAWAPE KAZI?

na saa zingine ukifuatilia sababu ni JUST BCZ biashara imekua na ana wateja hivyo hahofii tena hata kuwapoteza wachache asijue kwamba hao hao wachache alio tayar ku risk kuwapoteza ndio hivyo hivyo walikua wanakuaja kwa uchache mpaka wakawa wengi so sooner or later unajikuta huna wateja halafi unaanza kusema BIASHARA NGUMU AU SIJUI UMEROGWA?

mnisamehe kwa uandishi mbovu

ahsanteni
 
KWELI TUJIFUNZE KUTOCHANGANYA URAFIKI NA KAZI/BIASHARA

Hapo tumesikiliza upande mmoja , bado mtuhumiwa. All in All, weka mkataba unaoonesha vipengele gani vikikiukwa mkataba unakuwa umevunjika, na upande ulokiuka vipengele husika utapata adhabu gani. Tuwe tunaenda tukikua
 
Ahahah..upande wa pili mkuu acha 5u.baaa ya mimi kuanza ku ct proffesional ikiabid ajirud anasema amepigwa chini na manzi ake kwahiyo kazi hazipandi 😂 aaomba nimsamehe maana nilitakanku pull out deal zote baina yetu nipeleke kwingine
 
Back
Top Bottom