Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,761
- 99,644
Ni kweli Kabisa mkuu,Shida kuwa member kwenye hii forum unakuwa unaogopwa.
Hata wale waliomo hawataki wajulikane kama wapo [emoji23], kila mtu anakwambia anasoma tu.
Labda awarenes ifanyike watu wajue kuwa hii ni forum kama zingine, ila inakanuni zake.