Rejao Uko wapi?

Nipo salama kabisa ma dia...Nimetoka nyumbani jana tu!!
mvua tu ndio nyingi...nimekumiss sana. Mzima lakini?
Kaka mbaya wewe, ndio nini kwenda nyumbani kimya kimya?


Ungenambia si ningekupa kile kitenge cha shangazi umpelekee?


Mie mzima sana!
 
Ucjali. Nlikuwa naenda bar coz nawe pia wapenda. Nazkumbuka zle mishe ze2 za Mbalamwezi, Cine, Savana. Ilikuwa raha sana.
Sasa nime2lzana kwa smile. Cna papara.

Mi bar sijawahi kukanyaga.. Usimpe presha erick wangu bure.
 
Nitawasamehe siku wakimuomba msamaha Mtei,
Kwani walichomfanyia sio poa kbs,
Bora wangeacha watu wakaachana wenyewe ingekua poa tu,
Lkn wameleta maumbea ya ajabu!!

hivi wamesema umbea au ukweli?
 
Hahahahaha! Zile zimekaa kichama zaidi, hata zikifumaniwa hazina tatizo....

Sms ina Arumeru, Lema, Nasari, Mbowe, Slaa, ina tatizo gani? lol.. Ila kuna ile moja hahahaha yaani wewe unafaa sana kupelekwa ukapambane na Lusinde lol....
Chezeya kinyeo ya kuku wewe?
 

akili za wenzake achanganye na zake alaaa!
 
Kweli nimeaminia ugonjwa wa bao la Taifa srat umeenea sana Da slam.
Ugonjwa wa bao hasa maeneo ya magomeni huwapata watu wanaovaa msuli zaidi
Na huenda sambamba na ukaaji wa mikekani na wapenda supu ya samaki wasio na miguu.

Hebu njoo niku-diagnosize labda unao.

 
Kaka mbaya wewe, ndio nini kwenda nyumbani kimya kimya?

Ungenambia si ningekupa kile kitenge cha shangazi umpelekee?

Mie mzima sana!
Nilienda tu galfla...usijali kabisa, next time tutakuwa wote!!
Andaa tu vitenge vya kutosaha...
 

teh teh teh hivi smile alimtosa ama aliona the best alternative, akafanya decision!
 

Vigezo na masharti kuzingatiwa au nivue kabisa hii boxer?
 
Khaaaaaaaaaaaa,
Naona umenichoka sasa lol!
Mie na siasa tofauti kbs!

waswahili husema ukikaa karibu na waridi na wewe utanukia tuu... sasa uko na re-ja-o, what do you expect?
 
Mi naona wanaume wote mpo hivohivo sijawai kuona watofauti na hayo maelezo yako
Tena wenzio cha pili kinatoka kiduchu ka chozi
Mi naona unajitahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…