Rejao Uko wapi?

Haka kamjamaa kabaya sana. Kamemtimua Swahiba wangu Rejao. Hata Chit Chat stress free hatukumuona kabisa.


Tumewaachia tu, tuliona tukichukua na hicho kijimbo upinzani utakuwafa kabisa!! Ngoja tuwape wape moyo nao wajisikie!!!
 
hah! mwingine tena amechakachua thread!! nitawabonyezea kekundu?!
 
Canta na SL katika penzi motomoto baada ya ushindi wa CDM Arumeru.
Ndoa itafungwa hivi karibuni,

Yaani wewe naona unazeeka vibaya...lol.

Afu ujue bado sijamaliza kucheka zile sms za juzi,..jana nimejiuliza hivi umeanza kuvuta bange kama Lusinde au?...sina mbavu walah tena.
 
Swahiba nimekutafuta sana, ikawaje tena mambo haya yanakufanya tupotezane bana?

huyo jamaa wa kulia siku zake za ubunge zinahesabika!!! Namuonea sana huruma!!
 

ka meseji kako kana-touch ila ndio ukweli.... naomba basi uwasamehe kwanza eric na Bagah
 
Haya Tena kwa wale wanaotaka Dawa ya nguvu za kiume wawasiliane na mimi kwa njia ya PM. inauzwa Shs 15,000. Dawa ni ya mitishamba lakini imetengenezwa kwa njia ya kisasa Capsule unatumia kila siku kidonge kimoja Asubuhi na kidonge kimoja usiku baada ya kula chakula kwa muda wa miezi 3 Vidonge vipo 180 baada ya hapo hutotumia tena. Nguvu tena moja kwaa moja waweza kwenda mara tano kwa siku bila ya matatizo Mwenye kutaka awasiliane na mimi.

Jamani hii ni Mkuyati kiboko yao au jina lingine naweza kusema kuwa ni chuma cha Pua.

Ungana nami kutokomeza nguvu za jogoo kwa wanaume. Jiunge nami kufuta machozi na majonzi ya kinamama kwa uchafu wa manii za jogoo kutoka katika maumbile ya kiume ya binadamu.
 
ka meseji kako kana-touch ila ndio ukweli.... naomba basi uwasamehe kwanza eric na Bagah
Nitawasamehe siku wakimuomba msamaha Mtei,
Kwani walichomfanyia sio poa kbs,
Bora wangeacha watu wakaachana wenyewe ingekua poa tu,
Lkn wameleta maumbea ya ajabu!!
 
Yaani wewe naona unazeeka vibaya...lol.

Afu ujue bado sijamaliza kucheka zile sms za juzi,..jana nimejiuliza hivi umeanza kuvuta bange kama Lusinde au?...sina mbavu walah tena.
Ina maana sms zangu hufutagi? Ukifumaniwa ukatiwa mimba isiyotarajiwa usinitafute.

Nikiripoti kutoka kaunta ya juu,

Mimi ni ODM wa Pasaka Njema.
 
ka meseji kako kana-touch ila ndio ukweli.... naomba basi uwasamehe kwanza eric na Bagah

hivi tuna kosa gani tena vile?...sijui anamuogopa amy...maana ndie kapeperusha ndege wa MTEI
 
Kaka mekumisije?

Uko poa wewe?

Ya Arumeru yamepita hebu tuongelee ya nyumbani kwetu!
Nipo salama kabisa ma dia...Nimetoka nyumbani jana tu!!
mvua tu ndio nyingi...nimekumiss sana. Mzima lakini?
 
Dah! Babu nimekupigia saluti,
Sidhan km kuna bingwa mwingine wa kuchakachua sred km ww,
Unastahili hii :first:
 
Nitawasamehe siku wakimuomba msamaha Mtei,
Kwani walichomfanyia sio poa kbs,
Bora wangeacha watu wakaachana wenyewe ingekua poa tu,
Lkn wameleta maumbea ya ajabu!!

shem uliuza kifaa nini(Smile)...?inaelekea uliahidiwa cha juu...

Shem pitia post ya Amy ndio alianzisha maswala ya bar bana!
 

Report Post
 
hivi tuna kosa gani tena vile?...sijui anamuogopa amy...maana ndie kapeperusha ndege wa MTEI
Mie wala simuogopi Amy,coz yeye alikua anamkumbushia Mtei mambo ya zaman ambapo Mtei alikua akienda kucheza pool,ambapo ilikua rahisi kwa Smile kuelewa,
Nyie ndio mkayashikia bango na kumshawishi smile na mauongo mengine kibao mpaka akamtosa mwenzenu,sio fresh wala nn!!!
 
shem uliuza kifaa nini(Smile)...?inaelekea uliahidiwa cha juu...

Shem pitia post ya Amy ndio alianzisha maswala ya bar bana!
Kwann uyashadadie?
Wewe yalikua yanakuhusu nn?
Umeanza lini ukuwadi wakati nakufahamu huna tabia izo!!!
 
Ina maana sms zangu hufutagi? Ukifumaniwa ukatiwa mimba isiyotarajiwa usinitafute.

Nikiripoti kutoka kaunta ya juu,

Mimi ni ODM wa Pasaka Njema.
Hahahahaha! Zile zimekaa kichama zaidi, hata zikifumaniwa hazina tatizo....

Sms ina Arumeru, Lema, Nasari, Mbowe, Slaa, ina tatizo gani? lol.. Ila kuna ile moja hahahaha yaani wewe unafaa sana kupelekwa ukapambane na Lusinde lol....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…