Rejao Uko wapi?

Ahsante Canta. Hatimaye nami nimempata wa kunipoza maumivu na majeraha kwangu moyoni.
Angalau sasa nina furaha
Hongera sana Mtei,
Ila ndio ukishikwa ushikamane mtoto wa nguvu huyo si umeona tu mguu,
Usije ukamchanganyia habari sitakuelewa aisee,
Kuanzia mda huu wewe ni shem wangu,salam zimfikie Bagah popote alipo lol!
 
hapa sing'oki tena. Nimetia nanga. Mda si mrefu nitatoa tangazo maalumu.
Shem Canta ahsante kwa kujali. Mdogo wangu Bagah amebanwa na she wake mda huu.
Erick bdo anamalizia kuhamisha vi2 vlivyo2mika kwenye kampeni za Chadema kule Aru Masha.
 
Nafurahi kusia ivo shem wangu,
Usijali ww weka tu bandiko utapata sapoti yangu yote!
Kwan Bagah na Vivian kilieleweka siku ile???
Najua erick bado yuko bize na mambo ya Arumeru,ila sitashaangaa akiibuka gafla atakapo pata hizi taarifa!!
 
Ndugu wa Vivian walimtole nje kutokana na mapingamizi meng yaliwasilishwa katika kikao cha ukoo.

Kijana Bagah amefanya matukio meng ya aibu katika jamii ndo maana profile yake imechafuka. Hvyo inambid afanye clearance.

Erick atafurah endapo atapata habari hz nzuri. C unakumbuka vle Amyner alikuwa na ndoto za kuwa nami. Nadhan Erick atapumua kwa amani sasa.
 
Namhurumia sana Bagah kwani amebako bachela yeye mwenyewe kwenye kampan yenu!!
Ila itabidi utoe bandiko ili wanachi wajue na wale waliokua wakimezea mate wapate habari kamili lol!

Na kweli sana Erick anapata amani lol!
 
Nimemwambia Bagah afanye kampeni kabambe ya kujitakasa.

Now ndo niko kwenye majadiliano ya makubaliano ya kuweka bandiko kuu. Mimi na Smile damudamu.
 
Mtei am so happy for you jamani!
 
Nimemwambia Bagah afanye kampeni kabambe ya kujitakasa.

Now ndo niko kwenye majadiliano ya makubaliano ya kuweka bandiko kuu. Mimi na Smile damudamu.
Its ur time shem wangu,
Just enjoy it!!!

Tunasubiri bandiko lol!
 
Basi njoo kwa Chips Edo saa 7 kamili ntakuwa pale.
Lol...usinimezeshe mate mie, nipo ofisini kariakoo kwenye gorofa la muhindi! Mpaka nifike kwa Edo na hiyo mifoleni si nitafukuzwa kazi? Jioni nitakusubiri Namamga twende wote kwa Eddo!!
 
Nimemwambia Bagah afanye kampeni kabambe ya kujitakasa.

Now ndo niko kwenye majadiliano ya makubaliano ya kuweka bandiko kuu. Mimi na Smile damudamu.

bora mie ninaenjoi kuwa single!!
 
Usijali mkuu...utaona tu!
 
Hii ni yako peke yako mpenzi. Narudia tena, u are the only one who deserves to have it!!
Kongosho na Smile this time watakula tu kwa macho!!
 
Sasa upunguze mishe mishe za bar! Smile atakukimbia..

Ucjali. Nlikuwa naenda bar coz nawe pia wapenda. Nazkumbuka zle mishe ze2 za Mbalamwezi, Cine, Savana. Ilikuwa raha sana.
Sasa nime2lzana kwa smile. Cna papara.
 
Kinachoniuma ni kwenye hii thread kuna kundi la watu limeichakachua. likiongozwa na CAnta, mtei, tabasamu, dada kongosho na mwenye jina la thread re-ja-o.

turudi kwenye topiiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…