mmmh...ndio unanikomoa au?poa karibu moyoni mwangu
poa karibu moyoni mwangu
mmmh...ndio unanikomoa au?
I know Darling,ndio maana nimemkaribisha kwa moyo mweupe kbs,Usihofu darlingi....Smile hana madhara kabisa!!
leo nina hamu ya kitumbua sana ma dia niandalie mapema kabisa... mimi napitia supermarket nikuchukulie sousage najua unapenda sana kula mayai yaliyochemshwa,sousage na maziwa!!My swty friend,
Mboa unakua mkali ivo?
Wakati unajua kbs darling Rejao kachoka na anahitaji utulivu na kubembelezwa!
U just come bwana tushee mautamu si unajua kitamu kula na nduguyo!!!
kwa vile umeweka picha yako mi nakuonyesha miguu kwanzanami pia rimoyo rangu rmekudondokea. Nirikuwa nala mingo mda mrefu nikukabidh mtima wangu. Karibu Smile
itabaki historymmmh...ndio unanikomoa au?
nina hamu na maziwa jamani
Wewe siye mtu wa kukuchunia kabisa...Nadhani unaelewaa kuwa hali yangu haikuwa nzuri toka jumapili....Nimekuona, but nayaogopa madongo yako!!
Leo zamu yako my small house,,,jiandae vizuri! usisahau kuniandalia maziwa ya kuku!!
Wewe wangu tu ma dia...lazima tuwe tunakumbushia...
Kuna tuhuma zako nimezisikia hapa halafu...inabidi tuongee kwa kirefu!!
Hahaha hahaha,Ndo umeachwa hivyo.
Canta katoa malavidavi ya kivenezuela sijui ki-cuban.
kwa vile umeweka picha yako mi nakuonyesha miguu kwanza
Hahahah hahahaha hahah,
My X mke mwenza umenichekesha mpaka basi lol!
Nataman Mme wangu Rejao aje asome hii mistari iliyojaa vishazi na nomino lol!
hahaahaha....lol,:becky::becky: Kong, you are really crazy!!
Nilikumiss kweli kwa hiki kipindi nilichokuwa kwenye sayari nyingine!!
ok, pole na kilichokutinga... hapa ni kwema tuuu naona muimba mashairi Canta alijitahidi kufikisha salamu......Thanx mkuu...nimesharejea tena, nilitingwa kidogo! Kule ndio nyumbani...
umeona eeh tutatoa toto la nguvuMwanzo mzuri mpenzi wangu
Oooooh my swty darling,leo nina hamu ya kitumbua sana ma dia niandalie mapema kabisa... mimi napitia supermarket nikuchukulie sousage najua unapenda sana kula mayai yaliyochemshwa,sousage na maziwa!!
ahahaaaa sitaki ushahidi mimiOooooh my swty darling,
Usijali kitumbua chako kipo kinakusubiri wewe tu,
Nitakulisha kwa upole mpaka ucheue!!!!
Cha mchana wa leo kitabaki kuwa historia isiyosahaulika!
Btw,naitaman hiyo soseji mpaka udenda unanitoka lol!
Fanya uwahi usincheleweshe mme wangu!!!
umeona eeh tutatoa toto la nguvu
Kwa aliyejiandaa anakaribishwa sana lol!He he he, nataka kugombea niwe Bawji au Shaban Robert.
Najua, you need to laugh kwa sasa.
Ushahidi wa nn tena mpnz!!!ahahaaaa sitaki ushahidi mimi
Ushahidi wa nn tena mpnz!!!
Naona ushaopoa Mtei one,
Hongera ndugu yangu!
tena ukae mbali naeUshahidi wa nn tena mpnz!!!
Naona ushaopoa Mtei one,
Hongera ndugu yangu!