Reginald MENGI

Status
Not open for further replies.

qwest

Member
May 9, 2009
29
2
Jana niliona story juu ya huyu jamaa on PBS. Alikuwa anahojiwa na Andrew Young. Kipindi kilikuwa juu ya Tanzania na maendelo.

Hebu nipe his stori zaidi.................. hasa juu ya how he made his millions.

Alisema alizaliwa fukara lakini kwa kutumia jitihada na biashara amejiinua sawa sawa!

Very insipiring!
 
jana niliona story juu ya huyu jamaa on PBS. Alikuwa anahojiwa na Andrew Young. Kipindi kilikuwa juu ya Tanzania na maendelo.

Hebu nipe his stori zaidi.................. hasa juu ya how he made his millions.

Alisema alizaliwa fukara lakini kwa kutumia jitihada na biashara amejiinua sawa sawa!

Very insipiring!

kwani hakujielezea mwenyewe kwenye mahojiano?...Otheriwise better get from horse's mouth!
 
Jamaa alianzisha kiwanda kwenye nyumba ya vyumba viwili aliyokuwa akiishi na familia yake. Kiwanda kidogo cha kuunganisha pen miaka ya 80 wakati hakuna bidhaa.

Kama kuna watu wanatoka kwenye familia fukara basi mengi anatoka kwenye familia fukara sana kule moshi,lakini ameweza kumake fortune katika maisha yake.

Tatizo langu ni succession ya mali zake itakuwaje iwapo ataitwa na mnyezi Mungu kwani vijana wengi wa wenye pesa africa wanajua kutumbua tu badala ya kuendeleza pale mzee alipoishia.
 
Alisema alizaliwa fukara lakini kwa kutumia jitihada na biashara amejiinua sawa sawa!
Matajiri wote wa Bongo wanasemaga hivi tu, wala sio suala la kushangaaa na kushabikia, mifano ipo ila hakuna sababu ya kuitaja
 
Ukimchukulia huyu mzee kama role model wako story ya maisha yake lazima itaku-inspire sana na utagundua kuwa it all depends on your attitude.
 
Kwa kweli Mengi ni insipration hasa kwa vijana, lakini tukumbuke, kuwa mtu huwezi kuwa mfano katika nyanja zote za maisha, huyu ni mfano katika ujasiriamali, ujasiri, kutokukata tamaa, uvumilivu, kutokujisahau baada ya kuwa na pesa, kuwa na integrity ya kisiasa na kadhalika katika mambo hayo.

Kwa kweli hakuna mfano mwingine wa haraka
 
Jamaa alianzisha kiwanda kwenye nyumba ya vyumba viwili aliyokuwa akiishi na familia yake. Kiwanda kidogo cha kuunganisha pen miaka ya 80 wakati hakuna bidhaa.

Kama kuna watu wanatoka kwenye familia fukara basi mengi anatoka kwenye familia fukara sana kule moshi,lakini ameweza kumake fortune katika maisha yake.

Tatizo langu ni succession ya mali zake itakuwaje iwapo ataitwa na mnyezi Mungu kwani vijana wengi wa wenye pesa africa wanajua kutumbua tu badala ya kuendeleza pale mzee alipoishia.

Mkuu umenena, hapo kwenye highlight ndiyo ugonjwa wa watanzania wengi. Hatuna succession plan kabisa. Hii ni tofauti sana na wenzetu waasia, kwa mfano tizama wafanyabiashara kama Manji, Dewj, Zakaria, Patels, the list is endless. Mafanikio yao yameongezeka kwa kuendeleza biashara za marehemu wazazi wao, na kubuni mipango mipya inayoendana na wakati (Appropriate Expansion plans).

Kwa Wazalendo wa kitanzania ni kitendawili kishochoteguka, imagine hata mke/mume anakuwa hafahamu details za biashara/shughuli na pengine hata kazi ya mume wake kama akifariki anataka ashughulikeje kuhusu mafao yake. Yaani everything is inside "the black box". Serikali kupitia taasisi zake imeshindwa kuelimisha watanzania, sasa taasisi binafsi nazo sijui zinasubiri nini?
 
Kuna kitu kimoja kinaitwa ESTATE PLANNING, hiki inawezekana watanzania either hatukijui au tunakipuuzia sana, hii ni jinsi unavyoweza kupangilia sasa matumizi na usimamizi wa mali yako wakati utakapokuwa umekufa, wenzetu wanatumia sana hii ndio maana unakuta utajiri unadumu vizazi na vizazi.

Hebu angalia mtu kama Aga Khan kwa hapa kwetu nadhani babu yake Manji alifunguka machi mapema sana, ikitumika vizuri hii inakuwezesha ku-rule from your grave kwani hakuna mtu anayeweza kwenda kinyume na maagizo yako sababu the whole thing inasimamiwa na sheria.,lakini bahati mbaya watanzania hatujali hata kuandika wosia tu eti mtu anasema akiandika anakuwa anajichuria kifo.

Sidhani kama mzee Mengi nae ni mtu mwenye imani hii, naamini kuwa atakuwa ameshajipanga jinsi estate yake itakavyokuwa administered baada ya mauti kumfika.
 
Mkuu umenena, hapo kwenye highlight ndiyo ugonjwa wa watanzania wengi. Hatuna succession plan kabisa. Hii ni tofauti sana na wenzetu waasia, kwa mfano tizama wafanyabiashara kama Manji, Dewj, Zakaria, Patels, the list is endless. Mafanikio yao yameongezeka kwa kuendeleza biashara za marehemu wazazi wao, na kubuni mipango mipya inayoendana na wakati (Appropriate Expansion plans).

Kwa Wazalendo wa kitanzania ni kitendawili kishochoteguka, imagine hata mke/mume anakuwa hafahamu details za biashara/shughuli na pengine hata kazi ya mume wake kama akifariki anataka ashughulikeje kuhusu mafao yake. Yaani everything is inside "the black box". Serikali kupitia taasisi zake imeshindwa kuelimisha watanzania, sasa taasisi binafsi nazo sijui zinasubiri nini?
Kama suala ni succession basi Mengi mwenyewe alipasa kuwaandaa watoto wake mapema.Mimi naamini skills nyingi hatuzaliwi nazo ila tunajifunza.

Alipaswa kuwalea watoto wake kwa njia hiyo.Mbona wanasiasa wamefanikiwa kuwapa watoto wao hiyo succesion? mfano akina Nape Nnauye,RIdhiwani Kikwete,watoto wa Kawawa n.k

Watanzania tunaweza pia ila tu mzee Mengi labda hakulishtukia hilo mapema.
 
Ujasiriamali unazaliwa nao - si huu wetu wa kujifunza kwenye makongamano ukipata shida mbili tu mtaji unaula then chali --- inabakia kusimulia marafiki zako --oooohh nilishakuwa na taxi mbili ..... oohh bajaji wakanipora ..nikafuga nguruwe, kuku wakafa...mara ooohh wakanivunjia duka sasa duka lipi hatujui - who will be intrested with your stories anyway?

Hawa ndiyo wajasiriamali wa kibongo....mineno kibao ufasini sifuri, kukupa kila kukicha.
 
ELNINO!
Wewe ni mwanaume,wewe ni mwanajeshi kama avatar inavoelezea,wewe ni kiongozi wa wapambanaji,wewe ni mkosoaji mzuri sana! maneno yako ni matamu unapochangia kitu katika michango iliyonichekesha zaidi za kwako ni hili! Hakika u made me a day kaka! Nimecheka mpaka basi!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom