Reginald Mengi sawa na Bill Gates wa Tanzania

mwagavumbi 11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,254
Reaction score
44
WanaJF, nakumbuka Nov 2012, tulishuhudia orodha ya matajiri wakubwa 5 Tanzania wakitajwa hapa janvini kama ifuatavyo: Said Salim Bakhresa, Mohamed Dewji, Rostam Azizi, Reginald Mengi, na Mfuruki. Dr. Mengi alishika nafasi ya 4. Sasa nataka nipangue na kupanga list hii kiukarimu kama ifuatvao :
1 Mengi (huyu ni mfadhiri wa jamii kwa ujumla)
2 Rostam (ni mfadhiri wa wanasiasa)
3. Bakhresa (mfadhir wa vijana)
4. Dewji (mfadhiri wa jimbo la singda)
5 Mfuruki (sijwahi kumsikia akiwa na watu wa kawaida)
Ukweli ni kwamba, “Kutoa ni moyo si utajiri”. Juzi tarehe 25 Sept nilimshuhudia kwa macho yangu kwenye mahafari ya binamu yangu Barbro Johansson Girls Sec School dsm akiahidi kutenga Mil 200/= kila mwaka kwa ajili ya watoto wasiojiweza shuleni hapo. Alisema kwamba ‘’ kushindwa kulipa karo kisiwe kifungo cha maisha’’
Kabla ya mchango huo wa kudumu, aliahidi sh mil 1 kwa kila mwanafunzi kati ya hao wasichana 78 waliohitimu atakayepata daraja la kwanza. Alikabidhi mil 2 fedha taslim kwa mkuu wa shulekwa ajili ya kufungua akaunti ya kila mwanafunzi ili kama atakayefanikiwa kupata daraja la kwanza pesa yake ilipwe moja kwa moja kwenye akaunt yake.
Naweka clip jionee mwenyewe hali ilivokuwa hoi hoi na vifijo. Mwanzilishi wa shule hiyo ya Wasichana Prof. Anna Tibaijuka, Wazir wa ardhi alikuwa ameelezea hadhara hiyo kuwa shule iko katika hali ngumu kifedha baada ya mfadhiri wake wa miaka mingi (serikali ya Sweden) kuwataka wajitegemee wakati bado wana wanafunzi wengi wanaotegemea ufadhiri.
Sasa sisi wanaJF naomba tjipime katka barometer ya ukarim. Tumewah kuchangia nn kwa yatima na watoto wasiojiweza? Bwana Mengi amenilazmisha kutafakari mambo mengi ya wakarimu duniani kama Bilgates na mwenzie Waren Buffett. Buffet anaaminika kuwa tajiri mkubwa duniani kuliko Bilgates lakini tulisikia alichukua pesa zake akampa Bilgates ili asaidie Jamii duniani. Wanafanya mambo makubwa. Labda na hawa the top 5 waunganishe nguvu na Mengi kwa kuwa ni mkarim watufanyie mambo makubwa. Na sisi wanajanvi tukichanga sh 10,000 kila mwaka, Tsh Bil 1.57 itapatikna na sidhan kama watoto wetu watakaa chini tena! Tusirudi nyuma

<span id="yui_3_7_2_1_1380321693439_2668">
 
Last edited by a moderator:
Mchango ametoa lakini ni sehemu isiyostahili. Shule hy ada yake ni milion na ushee. Mtu anaesoma hapo anauwezo ht km ni yatima.shule za kata ndiko masiki walipo
 
WanaJF, nakumbuka Nov 2012, tulishuhudia orodha ya matajiri wakubwa 5 Tanzania wakitajwa hapa janvini kama ifuatavyo: Said Salim Bakhresa, Mohamed Dewji, Rostam Azizi, Reginald Mengi, na Mfuruki. Dr. Mengi alishika nafasi ya 4. Sasa nataka nipangue na kupanga list hii kiukarimu kama ifuatvao :
1 Mengi (huyu ni mfadhiri wa jamii kwa ujumla)
2 Rostam (ni mfadhiri wa wanasiasa)
3. Bakhresa (mfadhir wa vijana)
4. Dewji (mfadhiri wa jimbo la singda)
5 Mfuruki (sijwahi kumsikia akiwa na watu wa kawaida)
Ukweli ni kwamba, "Kutoa ni moyo si utajiri". Juzi tarehe 25 Sept nilimshuhudia kwa macho yangu kwenye mahafari ya binamu yangu Barbro Johansson Girls Sec School dsm akiahidi kutenga Mil 200/= kila mwaka kwa ajili ya watoto wasiojiweza shuleni hapo. Alisema kwamba '' kushindwa kulipa karo kisiwe kifungo cha maisha''
Kabla ya mchango huo wa kudumu, aliahidi sh mil 1 kwa kila mwanafunzi kati ya hao wasichana 78 waliohitimu atakayepata daraja la kwanza. Alikabidhi mil 2 fedha taslim kwa mkuu wa shulekwa ajili ya kufungua akaunti ya kila mwanafunzi ili kama atakayefanikiwa kupata daraja la kwanza pesa yake ilipwe moja kwa moja kwenye akaunt yake.
Naweka clip jionee mwenyewe hali ilivokuwa hoi hoi na vifijo. Mwanzilishi wa shule hiyo ya Wasichana Prof. Anna Tibaijuka, Wazir wa ardhi alikuwa ameelezea hadhara hiyo kuwa shule iko katika hali ngumu kifedha baada ya mfadhiri wake wa miaka mingi (serikali ya Sweden) kuwataka wajitegemee wakati bado wana wanafunzi wengi wanaotegemea ufadhiri.
Sasa sisi wanaJF naomba tjipime katka barometer ya ukarim. Tumewah kuchangia nn kwa yatima na watoto wasiojiweza? Bwana Mengi amenilazmisha kutafakari mambo mengi ya wakarimu duniani kama Bilgates na mwenzie Waren Buffett. Buffet anaaminika kuwa tajiri mkubwa duniani kuliko Bilgates lakini tulisikia alichukua pesa zake akampa Bilgates ili asaidie Jamii duniani. Wanafanya mambo makubwa. Labda na hawa the top 5 waunganishe nguvu na Mengi kwa kuwa ni mkarim watufanyie mambo makubwa. Na sisi wanajanvi tukichanga sh 10,000 kila mwaka, Tsh Bil 1.57 itapatikna na sidhan kama watoto wetu watakaa chini tena! Tusirudi nyuma

<span id="yui_3_7_2_1_1380321693439_2668">

Hata huyu Mengi nae ni DR siku hizi?
Alianza Nchimbi, JK, sasa Mengi
 
Last edited by a moderator:
Hana hela mengi kama kakutuma umpigie promo na wasikusikie wanaume wenye pesa zao kina bakhresa huwa hawafanyi matangazo misaada yao kwa kuwa dini hairuhusu koma kulinganisha wanaume qa maana na uyo chokoraa hapa tz
 
wivu tu umekujaa
 
Naunga Mkono kwa asilimia 100%, ukarimu huu!, na juhudi nyingine zozote za mtu yoyote kumsaidia mwingine yoyote kwa dhadi kwa lengo la kusaidia na sio kwa lengo la kujionyesha unasaidia!.

Ila pia charty begins at home!, tembelea kituo cha ITV wakati wa masika uingalie njia ya kufika hapo mara tuu baada ya lami!.
Tembea newsroom ya the Guardian Ltd, fanya utafiti wale waandishi ma freelances wanaoshinda juani kutwa kucha, mvua yao, jua lao, ujue wanalipwa kiasi gani, then rejea hapa tuendelee kuuzungumzia ukarimu huu!.

Nakiri kuna ukarimu mwingine ni upendo tuu wa mshumaa kwa kumulikia wengine, huku wenyewe ukiteketea!, ila pia fuatilia utekelezaji wa baadhi ya ahadi za ufadhili!, sometimes zipo ahadi hutolewa kwenye kadamnasi za watu tuu!.

Bwana wetu Yesu Kristu alitufundisha jinsi ya kutoa!, unachotoa na mkono wa kulia, mkono wa kushoto usijue!.
Kuna baadhi ya ma philanthropists wanaotoa misaada na ufadhili lukuki kimya kimya, ila pia tupo akina sisi ambao (rugged trousered philanthropists) tunatoa kidogo tulichonacho, kugawana na masikini wenzetu kwa kelele nyingi and sometimes even with a media stunts!.

Tofautisha, attention seekers, pride searchers na people with humility wanaokerwa na umasikini wa Watanzania, hivyo wanasaidia misaada ya uwezeshaji mvuvi wa samaki aweze kuvua samaki, na sio kumletea msaada wa samaki wa kitoweo!.
Pasco.
 
Naunga Mkono kwa asilimia 100%, ukarimu huu!.

Kuna baadhi ya ma philanthropists wanaotoa misaada na ufadhili lukuki kimya kimya, ila pia tupo akina sisi ambao (rugged trousered philanthropists) tunatoa kidogo tulichonacho, kugawana na masikini wenzetu kimya kimya!).

Tofautisha, attention seekers, pride searchers na people with humility wanaokerwa na umasikini wa Watanzania, hivyo wanasaidia misaada ya uwezeshaji mvuvi wa samaki aweze kuvua samaki, na sio kumletea msaada wa samaki wa kitoweo!.
Pasco.

Mkuu Pasco bila kuingia mijadala ya kidini
nimewahi kusikia alisema toa mkono wa kulia bila kushoto kuona
ni Mtume (S A W)
sasa inawezekana na wewe ume mix au wote wamewahi kusema hivyo?
nipo curious tu na sentensi hiyo ya busara,naomba tusiingize mihadhara hapa..
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka aliwasumbua sana baadhi ya wafanyakazi wake waliokuwa wanamdai pesa,sasa napata shida kidogo kuhusu utajiri wake,ikumbukwe Mengi ni mmoja waliokupa mamilioni ya iliyokuwa NBC na hatujasikia kama aliludisha ule mpunga.
 
Wivu gani kama hamjui wenye pesa nchi hii ulizeni mtajibiwa hapahap toa upuuzi jamaa anayo ya kubadilisha mboga tu hana hela ndio maana mtt mdogo manji alimburuza mahakamani siku ya hukumu manji kashinda akaagiza kwa kuwa anajua huyu babu choka mbaya alimwambi amlipe sumni tu wala sio kitu kingine wenye akili wakamshauri kauka mzee aibu iyoo nyooo chezea wanaume
wivu tu umekujaa
 
Ndio maana manji atimkaashifu baada ya kushinda kesi dhidi yake alimwambia amlipe sumni tu jamaa akawa kimya hakuweza kulumbana tena na watt wenye pesa
 
Watanzania hatuna utamaduni wa kuchangia ELIMU .Sisi ni harusi,msiba....
 
Hakurudisha mkuu na ndio aliyefilisi NBC wazazi wetu wamekufa bila kupata haki zao sasa kabaki kulisha walemavu ili apate pesa za msaada kutoka huko ughaibuni , ajira hatoi ITV ila ni mikataba jiulize tajiri anakwepa nn hapo
Nakumbuka aliwasumbua sana baadhi ya wafanyakazi wake waliokuwa wanamdai pesa,sasa napata shida kidogo kuhusu utajiri wake,ikumbukwe Mengi ni mmoja waliokupa mamilioni ya iliyokuwa NBC na hatujasikia kama aliludisha ule mpunga.
 
Mbona MANJI hayupo hapo kwenye list au kwa sababu anafadhili manjano??????
 
Hahahaa Pasco naona bado una kumbukumbu nzuri ya ''ukarimu'' wake dhidi ya kipindi kilichopendwa sana cha Kitiz Motoz!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco bila kuingia mijadala ya kidini
nimewahi kusikia alisema toa mkono wa kulia bila kushoto kuona
ni Mtume (S A W)
sasa inawezekana na wewe ume mix au wote wamewahi kusema hivyo?
nipo curious tu na sentensi hiyo ya busara,naomba tusiingize mihadhara hapa..
Mkuu The Bosi, laiti nisingalikuwa mdadisi zaidi ya Tomaso, nilipaswa niwe mhubiri!.
Somo la jinsi ya kutoa misaada, au kusaidia limeandikwa chini ya fungu la KUTOA KWA MAJIVUNO NA KUTAFUTA KUSIFIWA NA WATU!.
Somo kutoka Biblia Takatifu, Kitabu cha Mtume Matayo, Sura ya 6, Mstari wa 1-4. Haya ni Maneno ya Bwana Wetu Yesu Kristu!.
"Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili WATUKUZWE NA WATU. Amin, nawaambieni,wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume; sadaka yako iwe kwa siri; na BABA YAKO AONAYE SIRINI ATAKUJAZI".
Mwisho wa kunukuu.
Pasco.
 
Acha matusi wewe,wenye pesa ni akina nani??au Chenge na wale waloficha kule Uswizi.Hapa hatuzungumzii wauza unga na kuliibia taifa ila wale wenye faida kwa jamii,hebu wataje hapa tuwajue
Wivu gani kama hamjui wenye pesa nchi hii ulizeni mtajibiwa hapahap toa upuuzi jamaa anayo ya kubadilisha mboga tu hana hela ndio maana mtt mdogo manji alimburuza mahakamani siku ya hukumu manji kashinda akaagiza kwa kuwa anajua huyu babu choka mbaya alimwambi amlipe sumni tu wala sio kitu kingine wenye akili wakamshauri kauka mzee aibu iyoo nyooo chezea wanaume
 
Mkuu nchi hii hakuna mtu anatoa misaada tena kila siku kila mara na mikubwa kama azam bakhresa ni lini ulimuona kwenye tv au wangapi wanamjua hata kwa sura tu hilo nakuunga mkono mia kwa mia napinga mengi ni jina tu na c vinginevyo ni wangapi wanajua azam alifunga semi zake za kutosha zilisheheni vyakula na nguo kupeleka somalia kusaidia binadamu waliokuwa wakifa kwa njaa huko kama wapo madreva au waliojitolea kwenye msafara ule hapa jf watakujuza, na walitudi kutoa ushuuda ni jinsi gani walirski maisha yao lkn mungu aliwasimamia wakarudi salama nasikia kinyaa sana nikimsikia mtu akimsifia huyu mengi lkn ni umasikini tu unatufanya kupoteza uwezo wa kufikiri.

Back
Top Bottom