Reginald Mengi sawa na Bill Gates wa Tanzania

Reginald Mengi sawa na Bill Gates wa Tanzania

Naunga Mkono kwa asilimia 100%, ukarimu huu!, na juhudi nyingine zozote za mtu yoyote kumsaidia mwingine yoyote kwa dhadi kwa lengo la kusaidia na sio kwa lengo la kujionyesha unasaidia!.

Ila pia charty begins at home!, tembelea kituo cha ITV wakati wa masika uingalie njia ya kufika hapo mara tuu baada ya lami!.
Tembea newsroom ya the Guardian Ltd, fanya utafiti wale waandishi ma freelances wanaoshinda juani kutwa kucha, mvua yao, jua lao, ujue wanalipwa kiasi gani, then rejea hapa tuendelee kuuzungumzia ukarimu huu!.

Nakiri kuna ukarimu mwingine ni upendo tuu wa mshumaa kwa kumulikia wengine, huku wenyewe ukiteketea!, ila pia fuatilia utekelezaji wa baadhi ya ahadi za ufadhili!, sometimes zipo ahadi hutolewa kwenye kadamnasi za watu tuu!.

Bwana wetu Yesu Kristu alitufundisha jinsi ya kutoa!, unachotoa na mkono wa kulia, mkono wa kushoto usijue!.
Kuna baadhi ya ma philanthropists wanaotoa misaada na ufadhili lukuki kimya kimya, ila pia tupo akina sisi ambao (rugged trousered philanthropists) tunatoa kidogo tulichonacho, kugawana na masikini wenzetu kwa kelele nyingi and sometimes even with a media stunts!.

Tofautisha, attention seekers, pride searchers na people with humility wanaokerwa na umasikini wa Watanzania, hivyo wanasaidia misaada ya uwezeshaji mvuvi wa samaki aweze kuvua samaki, na sio kumletea msaada wa samaki wa kitoweo!.
Pasco.

Haha Pasco najua unaweza kuwa umekula msoto sana ktk kazi hapo..ila kuna kitu hujui..Mengi ni mfanya biashara....Na anajua kuwapa wafanya kazi free money huwafundishi sana kupenda utajiri au jiajiri wataishia logana tuu ili wapande vyeo na kuongezewa zaidi mishahara.

So km bado hujalijua hilo utaongeza kilio na wafanya biashara watashukuru sana kuwa wewe ni kibarua for life....kwanini usifikirie hiyo kazi km kitu cha kufinance gharama za mjini, na kitu cha kukutanisha na targets zako.Novatus alijua hilo sema kapitia njia mbaya,na kulenga kazi mbaya..naye huo ukuu wa wilaya ullipaswa kuwa kazi ya kujishikia na kupita tuu.

Pasco uandishi ni kitu kikubwa sana..km una fikra pana na ni weledi wa kuandika utaandika best sellers nyingi sana.Kwa hilo Mengi hata umuue hawezi kukuzidishia hela tuu bila sababu kwa vile haamini km anaweza kupa utajiri km akili yako ni ya kimasikini.

Ile nji aina watu wakubwa wengi sana.....na ipo chini ya City..mwanza serikali ukisema hilo wataleta shida kuwa wao ndio watapanda wapi ipelekwe hiyo hela.
 
Mkuu Pasco bila kuingia mijadala ya kidini
nimewahi kusikia alisema toa mkono wa kulia bila kushoto kuona
ni Mtume (S A W)
sasa inawezekana na wewe ume mix au wote wamewahi kusema hivyo?
nipo curious tu na sentensi hiyo ya busara,naomba tusiingize mihadhara hapa..
Kwa msisitizo,mkuu The Boss,bila kuingia kwenye mijadala ya kidini Yesu ndiye mwasisi wa msemo huu mtume alifanya kucpy na kupaste tu kama naye aliwahi kitu ambacho si kibaya hata hivyo,twende pamoja hapa; MATHAYO 6:3 anasema "Amin,nawaambieni,wamekisha kupata thawabu yao.Bali wewe utoapo sadaka,hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume;" Sasa ma GT tusipotoshane hapa na kuwapa utukufu wa wengine watu wasio stahili.Hebu isomeni tena wenyewe tokea mstari wa 2,3,4 ili kuipata kwa uzuri zaidi.
 
Haha Pasco najua unaweza kuwa umekula msoto sana ktk kazi hapo..ila kuna kitu hujui..Mengi ni mfanya biashara....Na anajua kuwapa wafanya kazi free money huwafundishi sana kupenda utajiri au jiajiri wataishia logana tuu ili wapande vyeo na kuongezewa zaidi mishahara.

So km bado hujalijua hilo utaongeza kilio na wafanya biashara watashukuru sana kuwa wewe ni kibarua for life....kwanini usifikirie hiyo kazi km kitu cha kufinance gharama za mjini, na kitu cha kukutanisha na targets zako.Novatus alijua hilo sema kapitia njia mbaya,na kulenga kazi mbaya..naye huo ukuu wa wilaya ullipaswa kuwa kazi ya kujishikia na kupita tuu.

Pasco uandishi ni kitu kikubwa sana..km una fikra pana na ni weledi wa kuandika utaandika best sellers nyingi sana.Kwa hilo Mengi hata umuue hawezi kukuzidishia hela tuu bila sababu kwa vile haamini km anaweza kupa utajiri km akili yako ni ya kimasikini.

Ile nji aina watu wakubwa wengi sana.....na ipo chini ya City..mwanza serikali ukisema hilo wataleta shida kuwa wao ndio watapanda wapi ipelekwe hiyo hela.
Mkuu Nico, bahati mbaya, sijawahi kubahatika kuajiriwa katika vyombo vya habari vya Mzee, ile yule patner wangu, Mzee wa KitiMoto, baada ya kukinunua kipindi kutoka DTV na kukihamishia ITV, pia walimnunua mwendeshaji kwa kiasi fulani na cha pesa, na alitakiwa afuate normal procedures za kuomba rasmi kazi ITV kwa kuandika barua ya kuomba kazi, he never did!, hakuandika barua, hakuomba kazi and that was it!.
Pasco.
 
Naunga Mkono kwa asilimia 100%, ukarimu huu!, na juhudi nyingine zozote za mtu yoyote kumsaidia mwingine yoyote kwa dhadi kwa lengo la kusaidia na sio kwa lengo la kujionyesha unasaidia!.

Ila pia charty begins at home!, tembelea kituo cha ITV wakati wa masika uingalie njia ya kufika hapo mara tuu baada ya lami!.
Tembea newsroom ya the Guardian Ltd, fanya utafiti wale waandishi ma freelances wanaoshinda juani kutwa kucha, mvua yao, jua lao, ujue wanalipwa kiasi gani, then rejea hapa tuendelee kuuzungumzia ukarimu huu!.

Nakiri kuna ukarimu mwingine ni upendo tuu wa mshumaa kwa kumulikia wengine, huku wenyewe ukiteketea!, ila pia fuatilia utekelezaji wa baadhi ya ahadi za ufadhili!, sometimes zipo ahadi hutolewa kwenye kadamnasi za watu tuu!.

Bwana wetu Yesu Kristu alitufundisha jinsi ya kutoa!, unachotoa na mkono wa kulia, mkono wa kushoto usijue!.
Kuna baadhi ya ma philanthropists wanaotoa misaada na ufadhili lukuki kimya kimya, ila pia tupo akina sisi ambao (rugged trousered philanthropists) tunatoa kidogo tulichonacho, kugawana na masikini wenzetu kwa kelele nyingi and sometimes even with a media stunts!.

Tofautisha, attention seekers, pride searchers na people with humility wanaokerwa na umasikini wa Watanzania, hivyo wanasaidia misaada ya uwezeshaji mvuvi wa samaki aweze kuvua samaki, na sio kumletea msaada wa samaki wa kitoweo!.
Pasco.

Je wafanyakazi wa guardian wanalipwa tofauti na media zingine? Lazima hizo media zijiendeshe kwa profit zake zenyewe, yeye akiwapa hela kutoka kwenye business zake zingine then atakuwa hafanyi biashara, bora hafunge hizo media.

Kuhusu barabara mbaya kalalamike kwa bwana

Hamna mtu anayetoa hela kimya kimya, tofauti yao ni covarage. Mmoja anacovarage kubwa mwingine kidogo.

Hela ya kimya kimya ni hongo ie umehonga serikali/hawara/police or tender board
 
Mkuu Semi, sijalalamika popote, nilichosema ni "charty begins at home!", katika kutenda wema, anzia basi nyumbani kwa kuwaliupa vizuri hao wanaokutumikia na kukuzalizia hayo mahela unayoyagawa kwa wahitaji wengine ambao hawatoki hata tone la jasho kukufanya wewe ufike hapo ulipofika!. Wema huu usiwe kama wema wa "mama boga", watoto wa maboga walisikika wakisema mahali "mama anashona sana mikeka, lakini sisi watoto wake tunalala chini!".
Pasco.
 
sidhani kama wafanyazi wa microsoft ya bill gates wanalia na mishara midogo kama makumpuni ya Mengi......
 
kuna watu waliotafuta pesa kwa halali na wengine ivi kweli unaweza mtaja mtu kama manji ambaye wote tunajua utajiri wake umehusika na issue nyingi zisizo halali???...... ukiacha mengi na bakhressa nchi hii matajiri wote waliobaki utajiri wao si wa halali lazima kuna wizi ndani yake!! haiwezekan watu wameanza biashara muda c mrefu alafu baada ya mda mfupi anakua bilionea... kama si kukwepa kodi, basi anatakatisha fedha, au mwizi au anafanya biashara isiyo halali.
 
Sitaki kuamini, Mbona sasa Mwenyewe anasema wanafadhiliwa na Serekali ya sweeden? Inakuwaje Ada bado juu?
Kuna wanaolipa ada kubwa na watoto wa masikini wanaosoma bure. Kila mzazi anaelipa ada anaombwa achangie kwa ajili ya wengine wenye akili ambao hawana uwezo ili wasome bure
 
Mkuu Pasco bila kuingia mijadala ya kidini
nimewahi kusikia alisema toa mkono wa kulia bila kushoto kuona
ni Mtume (S A W)
sasa inawezekana na wewe ume mix au wote wamewahi kusema hivyo?
nipo curious tu na sentensi hiyo ya busara,naomba tusiingize mihadhara hapa..

Qur'an tukufu n biblia vyote vinasema hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wametoa misaada sana hapa bongo na wala hakuna anao wajua. Wamesaidia na kukaa kimya. Nenda mwanza na ulizia marehemu mzee farai.
 
Ndio maana manji atimkaashifu baada ya kushinda kesi dhidi yake alimwambia amlipe sumni tu jamaa akawa kimya hakuweza kulumbana tena na watt wenye pesa

Sijui hata hua unapitia media gani, Manji ndiye aliyekimbia kesi na sio Mengi, na madai haikua sumni kama unavyosema, alidai Tsh1. Habari za kupatia vichochoroni na kuziweka humu muwe mnaacha, mnadharirisha JF
 
sidhani kama wafanyazi wa microsoft ya bill gates wanalia na mishara midogo kama makumpuni ya Mengi......

sorry kwa kuingilia, ila ni kwamba niliwahi kufanyakazi pale The Guardian Ltd, kwenye department ya Accts and Finance, ni kwamba wale jamaa walioajiliwa wa 'news room' kiukweli wanalipwa vizuri sana kuliko department yoyote ile pale the guardian, shida iliyopo nikuwa mishahara huwa inachelewa, nabinafsi nilikimbia pale sababu ya kipato kidogo na kitengo chetu kilikuwa less paid kati yavitengo vyote vilivyopo pale! pia kimishahara mfano the guardian ltd yaweza kuwa in parallel with mwananchi communication ltd na sidhani kama wanawezakuwa wanazidiwa na habari corporation. Pia mzee mengi kwenye makampuni yake hana ushawishi wa moja kwa moja ktk uongezaji wa mishahara vile labda kila kampuni ina MD & directors wake, hivyobasi kilakampuni ina strategy yake kulingana na profit wanayopata, sidhani kama wazo zuri kama kampuni A imepata profit kubwa then uamue kuongeza mishahara kwa kampuni B, C, n.k!tukumbuke kuwa mzee mengi aliwahi kuwa na viwanda kama kile cha sabuni hapo naskia alikuwa akipata faida kubwa sana na inawezekana chanzo cha pesa zake yawezekana ikawa ni hizo prior profits attributed to prior companys.
 
Million 200.
Ada shule za kata Tsh Elfu 20.
Kwahiyo: 200,000,000/20,000=10,000
Katika shule za kata, angewalipia wanafunzi 10,000 kwa Mwaka.
BTW Big Up Mengi.
 
Kwa watoa misaada,,Sabodo na Sir Ande Chande(huyu alipewa title ya Sir kwa ajili ya Philantropism) ndo wanaongoza shida hawapendi publicity ka ya mengi,
 
Mkuu Nico, bahati mbaya, sijawahi kubahatika kuajiriwa katika vyombo vya habari vya Mzee, ile yule patner wangu, Mzee wa KitiMoto, baada ya kukinunua kipindi kutoka DTV na kukihamishia ITV, pia walimnunua mwendeshaji kwa kiasi fulani na cha pesa, na alitakiwa afuate normal procedures za kuomba rasmi kazi ITV kwa kuandika barua ya kuomba kazi, he never did!, hakuandika barua, hakuomba kazi and that was it!.
Pasco.

Kundika barua na kuomba ni sehemu ya kuonyesha kuwa uliingia kazini kwa ridhaa yako, na ulikubaliwa kazini na hivyo aliyekuajiri anaweza jitetea hakukupa kazi bar akamnyima liyeomba rasmi offisini..ni kitu salama kwa mwajiri....

Huyo jamaa yako wa mishemishe km alichomoa pole yake..ingawa kwa walio na values wanaweza push mwajiri aombe yeye kukuwaajiri halafu mwajiriwa akubali au akatae kimaandishi..ila mara nyingi humtaka mwajiriwa aandike barua ya maombi.

Ktk issue ya kazi ....mwajiriwa atakaiwa ajue mwajiri yupo deperate kiasi gani kupata mtu yoyote kwa gharama yoyote, halafu pia mwajiriwa ajue naye hayupo na njaa kwa kiasi gani...pia ajue kiasi gani mwajiri anaweza toa ..Sasa mwajiriwa aatakuwa na control ya kutaka mshahara..Bahati mbaya watanzania wengi ktk interviews nimewakuta wanajipeleka kam loosers wanaohitaji huruma...na kweli unakuata wana njaa na mashinikizo mengine ya kuwa ktk kazi.

MARA YA MWISHO MSIKIA MENGI KTK TV ALIMWAMURU AFISA AJIRA ASILIPE MTU YOYOTE CHINI YA 450,0000/= KTK MAKAMPUNI YALE YOTE.SIJUI KM HICHO KIASI NI KIDOGO HIVYO....
 
Je wafanyakazi wa guardian wanalipwa tofauti na media zingine? Lazima hizo media zijiendeshe kwa profit zake zenyewe, yeye akiwapa hela kutoka kwenye business zake zingine then atakuwa hafanyi biashara, bora hafunge hizo media.

Kuhusu barabara mbaya kalalamike kwa bwana

Hamna mtu anayetoa hela kimya kimya, tofauti yao ni covarage. Mmoja anacovarage kubwa mwingine kidogo.

Hela ya kimya kimya ni hongo ie umehonga serikali/hawara/police or tender board

kwanza km angekuwa analipa kidogo kihivyo hao jamaa wasingebaki ....kidogo au akikubwa inategemea na ridhiko la mtu kwa kile anachokifanya.BY the way watanzania hawaujui kukubalina mishahara na kuweza mshawishi mwajiri kuwa kweli wapo worth wanachotaka lipwa....huw awanajitajia tuu bei, wengine wana assume kutaka ndogo kutawapa nafasi ya kuingia halafu baadaye wadai..hawajui kuwa wakishaingia halafu wakiwa na kiwango duni , huku wakionyesha wana njaa kwa kulialia advance mapema..ni wazi kuwa mwajiri ahan sababu aya kuhofu utaondoka.

Mara zote mwajiri anatakiwa save money ktk production na running cost ili pate edge ktk market price......ndio maana nyumbu, vifaa vya sido, kamatek pamoja na ubaya wake wa sura, speed bado ni ghali kuliko vya wengine.Hawajui hilo..wahindi wanatengeneza mabilioni kwa k upunguza labour cost.
 
Mkuu Semi, sijalalamika popote, nilichosema ni "charty begins at home!", katika kutenda wema, anzia basi nyumbani kwa kuwaliupa vizuri hao wanaokutumikia na kukuzalizia hayo mahela unayoyagawa kwa wahitaji wengine ambao hawatoki hata tone la jasho kukufanya wewe ufike hapo ulipofika!. Wema huu usiwe kama wema wa "mama boga", watoto wa maboga walisikika wakisema mahali "mama anashona sana mikeka, lakini sisi watoto wake tunalala chini!".
Pasco.

Kwanini ufanye charity kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi na kulipwa?Ni yeye tuu kupambana opportunity are infinity...mtu anayelilia na tajiri kuw amshahara ni mdogo hakustahili ongezewa....km hajaweza mshawishi mwajiri kuwa bila yeye kazi haziendi kwa level iliyopo....km hajamwonyesha mwajiri kuwa ni rare commodity...kwanini uongezewe mshahara ziaid ya mliokubaliana wakati productivity yako haijaongezeka, pengine imeshuka kuliko ulichopatana..

Kwa ujumlyo huyo mtu ni mzigo.........na hivyo bado mengi anawasitiri...wengi wa wafanyakazi wanaolialia si kwamba wanaonewa ni kwamba hawauziki sehemu nyingine....hata kwa baei waliyoajiriwa nayo hapo walipo......angalau wangesingizia kuondoka kutokana na ubaya wa mazingira .

mimi nikiiba mfanyakazi km huyo ni kwamba nataka wa kunishikia kazi wakati naanza nikijenge timu, au kuna namna tofauti ya kumtumia nimegundua.Il kuanza nao ni kutaka bishara ife.ni km old dogs tuu.
 
Hana hela mengi kama kakutuma umpigie promo na wasikusikie wanaume wenye pesa zao kina bakhresa huwa hawafanyi matangazo misaada yao kwa kuwa dini hairuhusu koma kulinganisha wanaume qa maana na uyo chokoraa hapa tz
Mtoto wa kiislam weye! wajua kumbe kutoa mkono wa kulia, wa kushoto usijue! Hapo sawa
 
Back
Top Bottom