Hivi sioni maana ya jamaa kutoa kwani anafanya hivyo ili apate misamaha ya kodi,,..
Hana hela mengi kama kakutuma umpigie promo na wasikusikie wanaume wenye pesa zao kina bakhresa huwa hawafanyi matangazo misaada yao kwa kuwa dini hairuhusu koma kulinganisha wanaume qa maana na uyo chokoraa hapa tz
Hivi mengi unamfananisha na tajiri wa afrika mashariki bakresa? kweli wewe una mawazo mgando..mengi ni kama kibranch tu cha Bakresa...katika utajiri hatiangalii anatoa nini kwa watu bali tunaangalia anamiliki nini na cash flow yake ikoje..
Hivi sioni maana ya jamaa kutoa kwani anafanya hivyo ili apate misamaha ya kodi,,..
wivu tu umekujaa