MTIMBICHI
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 946
- 214
Kwa kuwa unazungumzia makalio sio kosa lako haaya mwambie huyo bwana wako alipe waliokuwa wafanyakazi wake haki zao na arudishe mkopo aliochuku mabilion ya NBC japo wazazi wetu wamekufa warithi tupo tukalipwe haki za baba zetu p..mba.vuuu wewe
Acha matusi wewe,wenye pesa ni akina nani??au Chenge na wale waloficha kule Uswizi.Hapa hatuzungumzii wauza unga na kuliibia taifa ila wale wenye faida kwa jamii,hebu wataje hapa tuwajue