Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz


Kichwa cha hii topic kinasema As Rostam approaches PCCB: Mengi goes to Court

Au mwenzetu huoni...!!!
 

Tumuagie sera zako dada maybe tuta kupigia kura haha.
Wanasiasa Tz ni selfish. They are there for the benefit of their pockets not for the country. The saddest think is that they are robbing the poor who need that money for education, health, HIV treatment, entrepreneurship, roads, better housing, clean water etc. Ina shangaza the countries with a lot of money don't rob their people as much but us Tz with the little that we have and badly need is going to the hands of the few who actually don't need it.
 
Kichwa cha hii topic kinasema As Rostam approaches PCCB: Mengi goes to Court

Au mwezetu huoni...!!!


So what?!
Wewe hebu tuliza ball unaweza ukaenda court na kusiwe na kesi vilevile ikafia hukohuko.....kwani kwenda court ndiyo nini?....You are too blind to see uh!

Mengi kaenda court mara nyingi tuu....

Alafu mimi siyo kipofu usinge bold ningeweza kusoma vilevile.....
 
So what?!
Wewe hebu tuliza ball unaweza ukaenda court na kusiwe na kesi vilevile ikafia hukohuko.....kwani kwenda court ndiyo nini?....You are too blind to see uh!

Mengi kaenda court mara nyingi tuu..

Kelly01 are you serious?
 
Kesi haiwezi kuenda mbele wakati Mengi anachunguzwa na TAKUKURU ,itabidi asubiri kwanza wakati akichunguzwa na uchunguzi kumalizika.
 
Kesi haiwezi kuenda mbele wakati Mengi anachunguzwa na TAKUKURU ,itabidi asubiri kwanza wakati akichunguzwa na uchunguzi kumalizika.

true dat Mwiba!....

Si ndiyo hapo jamaa anakazana ooh mengi kapeleka kesi kortini so what?...so nisiseme kama kuan durah-ma kwa sababu kesi ipo court?....Some dude wako so blind folded na huyo mengi....
 


Kesi Iko mahakamani tayari, wewe bado unadai ushahidi utolewe.

Hivi kuna ushahidi wa nguvu zaidi ya ule utolewao Mahakamani chini ya kiapo?

Au unadhani ukipeleka ushahidi wako Takukuru ndo umemaliza kila kitu?
Takukuru siyo Mahakama.

Au mimi ndo mjinga sielewi, hii sentensi yako kwamba


"Tanzania tupo so behind kwenye politics kama unaona kuna ufisadi toa ushahidi wako A-B-C-D full stop!..."

Ina maana gani? Fafanua.
 


Kalagabaho!....that is all i can say!...
 
Toa maelezo "kalagabaho" ndo nini?? kama huna details you better give mic to others.


Angalia Kamusi....au google....

Nikupe details za nini?kwani mengi kawapa setails si kapeleka kesi mahakamani subiri na mimi nipeleke kesi yangu mahakamani....si mna believe in mahakama?...

Ndiyo maana nasema CCM itaendelea kuongoza tuu inaonekana mmeridhika sana na mengi kupeleka kesi yake mahakamani uh....nani kasema kupeleka kesi mahakama ndiyo mwisho wa matatizo anaweza akafungua kesi hana evidence kesi inaingizwa kapuni what are you talking about....mpo so blind folded na vitu vidogo sana eti mahamani so what?....

Think outside the box....
 


wewe unatoa solution gani ili CCM isiendelee kuongoza?
 


wewe unasema you are not blind, twambie ungetaka mengi achukue hatua ipi badala ya hii aliyochukua sasa?
 
Kesi haiwezi kuenda mbele wakati Mengi anachunguzwa na TAKUKURU ,itabidi asubiri kwanza wakati akichunguzwa na uchunguzi kumalizika.


Hivyo..!! kwa hiyo...RA "alishatabiri" kuwa TAKUKURU watagundua katika uchunguzi wao kuwa yote aliyomshutu Mengi ni ya kweli..au wakati RA anamshutu Mengi alitumia vielelezo kutoka TAKUKURU..?? Naombeni kuelimishwa..
 


Mtikila alishinda Kesi Mahakama kuu na mahakma ya Rufaa kuhusu Mgombea Binafsi katika ngazi zote za uchaguzi.

Serikali inashindwa kutekeleza hukumu hiyo hadi leo.
Sijui serikali nazo siku hizi zina Kidada(kiburi)?

Je huo si ushahidi kwamba anagalau huko Mahakamani kuna watu na siyo viatu?

Hatukatai Utawala mzima wa kisheria nchini Tanzania ni vurugu kubwa ya kutisha.

Hata hivyo,Pale mtu akiamua kufuata taratibu basi ni vema afuate taratibu kwa kuchuka hatua moja mbele na si hatua moja nyuma.
Ukikashifiwa, au ukitambua mtua anakupakazia juu ya madai ya uongo huendi Takukuru unakwenda Mahakamani.

Takukuru wanachunguza tuhuma za jinai siyo madai.
 


Well said Mkuu....




Haya hebu tuambie wewe unayejua, ni kesi gani zipi zilizoenda Mahakama Kuu zilizokupa sababu ya kutokuwa na imani na Mahakama Kuu?? Tunasubiri...
 
Kesi haiwezi kuenda mbele wakati Mengi anachunguzwa na TAKUKURU ,itabidi asubiri kwanza wakati akichunguzwa na uchunguzi kumalizika.

MWIBA , I appeal to your sense of legal procedures and practice.Kesi hii imefunguliwa na Mengi,SIYO,PCCB,Pengine PCCB wanachunguza kitu tofauti kabisa ambacho hakina uhusiano na kesi ya Mengi.
Hivyo sioni jinsi uchunguzi wao utasimamisha mahakama kuendelea na kesi ambayo wao hawahusiki.
 

ukikataa amri ya mahakama mara tatu ni kosa
kwa hiyo mahakama itamuhukumu kwa kuvunja amri ya mahakama
mahakama ina nguvu kuliko PCCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…