Ule uvumi uliokuwa ukienea mtaani kwamba hali si shwari ndani ya IPP Media hususani ITV Radio One kwa watangazaji wake mahiri ku resign na kwenda kwenye media houses zingine sasa uko dhahiri. Mmoja wa watangazaji mahiri na mwenye sauti nzuri mwanadada Regina Mwalekwa tayari kaanza kusikika Clouds FM. Kuna tetesi kwamba Miradi na wenzake wawili tayari wamekwisha pewa mikataba. Kunani Itv/radio one jamani?
Greener pastures mkuu!
Ila Mwalekwa na busara zake pale sijui kama atakaa bse pale wanaitajika watu wenye mzaha mzaha as nilishawai fanya kazi apo enzi za akina Amina Chifupa
Mkuu samahani ila hilo jina la Njowepo ni kama nilishawahi lisikia mahali ila sikumbuki ni wapi (labda Clouds).. Ndiyo wewe au nimefananisha tu?
Hivi hujapata kumsikia braza kaka mmoja pale anaitwa Milad Ayo, hutanganza sports nuzktk Habari ITV ama vipindi vingine radio 1.ITV kulikuwa na mtu mwenye jina hilo hapo kwenye blue kweli?
Umesema kweli. Mi nina establish media house yangu mikoani hapa nipeni contact zake mtasikia kaja kwangu.Well, waajiri wooote wanafanana. Tofauti kubwa ingekuwa ni kuanzisha media house yake. Kesho akitoka Clouds tutasemaje?
Sidhani kama ni greener pasture. Kuna uwezekano hata hao wanoondoka wanapata kidogo zaidi ya hapo Radio one. Labda uongozi wa hapo ITV?
Labda wanataka kubadilika kwa kuwaondoa wale wote wenye mizaha na kuleta watangazaji walio makini.Greener pastures mkuu!
Ila Mwalekwa na busara zake pale sijui kama atakaa bse pale wanaitajika watu wenye mzaha mzaha as nilishawai fanya kazi apo enzi za akina Amina Chifupa
ITV kulikuwa na mtu mwenye jina hilo hapo kwenye blue kweli?
Labda Clouds itakuwa serious sasa.....Hii ndio ilikuwa best ITV/RADIO 1 line up...now dying