Brooklyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 1,459
- 284
Ule uvumi uliokuwa ukienea mtaani kwamba hali si shwari ndani ya IPP Media hususani ITV Radio One kwa watangazaji wake mahiri ku resign na kwenda kwenye media houses zingine sasa uko dhahiri. Mmoja wa watangazaji mahiri na mwenye sauti nzuri mwanadada Regina Mwalekwa tayari kaanza kusikika Clouds FM. Kuna tetesi kwamba Miradi na wenzake wawili tayari wamekwisha pewa mikataba. Kunani Itv/radio one jamani?