Regina Mwalekwa atimba Clouds FM

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Ule uvumi uliokuwa ukienea mtaani kwamba hali si shwari ndani ya IPP Media hususani ITV Radio One kwa watangazaji wake mahiri ku resign na kwenda kwenye media houses zingine sasa uko dhahiri. Mmoja wa watangazaji mahiri na mwenye sauti nzuri mwanadada Regina Mwalekwa tayari kaanza kusikika Clouds FM. Kuna tetesi kwamba Miradi na wenzake wawili tayari wamekwisha pewa mikataba. Kunani Itv/radio one jamani?
 
Greener pastures mkuu!
Ila Mwalekwa na busara zake pale sijui kama atakaa bse pale wanaitajika watu wenye mzaha mzaha as nilishawai fanya kazi apo enzi za akina Amina Chifupa
 
ITV kulikuwa na mtu mwenye jina hilo hapo kwenye blue kweli?
 
R.mwalekwa(first from left)
UMAKINI.jpg
 
Greener pastures mkuu!
Ila Mwalekwa na busara zake pale sijui kama atakaa bse pale wanaitajika watu wenye mzaha mzaha as nilishawai fanya kazi apo enzi za akina Amina Chifupa

Mkuu samahani ila hilo jina la Njowepo ni kama nilishawahi lisikia mahali ila sikumbuki ni wapi (labda Clouds).. Ndiyo wewe au nimefananisha tu?
 
Sidhani kama ni greener pasture. Kuna uwezekano hata hao wanoondoka wanapata kidogo zaidi ya hapo Radio one. Labda uongozi wa hapo ITV?
 
Well, waajiri wooote wanafanana. Tofauti kubwa ingekuwa ni kuanzisha media house yake. Kesho akitoka Clouds tutasemaje?
 
Well, waajiri wooote wanafanana. Tofauti kubwa ingekuwa ni kuanzisha media house yake. Kesho akitoka Clouds tutasemaje?
Umesema kweli. Mi nina establish media house yangu mikoani hapa nipeni contact zake mtasikia kaja kwangu.
 
Sidhani kama ni greener pasture. Kuna uwezekano hata hao wanoondoka wanapata kidogo zaidi ya hapo Radio one. Labda uongozi wa hapo ITV?

Sijaelewa unamaanisha nini au ulitaka kumaanisha nini
 
Greener pastures mkuu!
Ila Mwalekwa na busara zake pale sijui kama atakaa bse pale wanaitajika watu wenye mzaha mzaha as nilishawai fanya kazi apo enzi za akina Amina Chifupa
Labda wanataka kubadilika kwa kuwaondoa wale wote wenye mizaha na kuleta watangazaji walio makini.
 
hahah kweli namsikia hapa CLouds FM akiripoti toka Dodoma. Ameahidi kuleta news za Bungeni kwa makini
 
ataweza mawingo studio? kwani kwa jinsi nilivyosikiliza antivirus ya mr sugu dada mwalekwa awe makini asije liwa kama mbogaaaaaaa
mapinduziiiiiii daimaaaaaaa
 
Labda Clouds itakuwa serious sasa.....Hii ndio ilikuwa best ITV/RADIO 1 line up...now dying

Radio+One+Dream+team+1995.jpg

Namkumbuka sana Mike Roles (wa tatu kuanzia kushoto, aliyekaa chini), aliyekuwa MD wa kwanza wa ITV/Radio 1. Jamaa alikuwa KICHWA, lakini ali-resign na kutoa 24-hours notice, na mshahara wao wa mwezi mmoja akarudisha! Hakupenda mzaha! Ukitaka kisa chake, nitumie PM.

Jamaa alinibembeleza sana nifanye kazi nao, nilikataa, sipendi majungu, visa, visanga, ndumba, n.k.! Ukitaka kufanya kazi ITV/Radio 1, uwe na roho ngumu kama ya paka! We unadhani ni nini kilichowatimua Charles Hillary, Julius Nyaisanga, Mikidadi Mahmoud na wengineo? Kuondoka kwa Regina Mwalekwa hakunishangazi. Kwanza naona kachelewa!
 
Kwanza maslahi poa dada yetu kaza buti vinginevyo utakufa maskini,mbona wenzako walikwenda BBC,VOA na CNN lakini hawasemi saa ya kuchacharika ni sasa
 
Back
Top Bottom