Regina Lowassa - Shujaa wangu

Regina Lowassa - Shujaa wangu

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,114
Reaction score
5,114
Uchaguzi umeisha na Rais wa jamhuri anataganzwa leo.Baada ya hapo hakuna jinsi ya kuhoji matokeo.
Nachukua fursa kumpongeza kwa dhati mama Regina Lowassa.

Amesimama na msimamo na amefanya kazi kubwa.

Ameitwa mjane wakati mume yu hai na amevumilia matusi mpaka ya nguoni.

Kila la kheri.
 
Rais Maalim Tunaimani Nawe Serikali Tatu Karibu Sana
Rais Lowassa Ni Wa JMT
 
rais wangu ambae nimeweka picha yake kwenye frame na kuitundika ofisini kwangu hongera sana kwa kupata mke wenye akili kama condoresa rise mwambie wenyekiti mbowe ampe ubunge wa special seat coz she have brain yeye pamoja na halima mdee wataifanya bawacha kuwa taasisi imara sana na Huyu mama ni presidential material kabsa miaka ijayoo agombee urais am sure tutampa kura na wewe utakuwa first gentromen so ndoto yako ya kuingia ikulu itakuwa imekamilika kwa njia hyo bt for now ccm wameshatushika pabaya sana
 
Rais ni Magufuli. MARAIS WA VYAMA WATAENDELEA KIVYAOVYAO
 
Uchaguzi umeisha na Rais wa jamhuri anataganzwa leo.Baada ya hapo hakuna jinsi ya kuhoji matokeo.
Nachukua fursa kumpongeza kwa dhati mama Regina Lowassa.

Amesimama na msimamo na amefanya kazi kubwa.

Ameitwa mjane wakati mume yu hai na amevumilia matusi mpaka ya nguoni.

Kila la kheri.

Shujaa wa kupiga watu makofi na kuzurula zurula ovyoooo.....
 
Mshumbuz nae mlimwita shujaa hivi hivi,,,mitanzania kwa kusahau haijambo! Magufuli kakejeliwa sana! Mara hoo kauza nyumba kwa kimada wake,,mara wametengana na mkewe ndio maana haoni kwenye kampeni,,lkn mama yule alikaa kimya huku akiendelea kulea watoto wake..yule ndo shujaa zaidi!!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ni mpungufu wa akili tu na mpumbavu ndiye atakayekataa kuwa Mama Regina Lowassa ni jembe. Ameonyesha uwezo wake mkubwa wa kihimili misukosuko. Hongera mama yetu.
 
Huyu mama, Mungu aniwie radhi, ila angekuwa mama yangu, ningejiona mfalme mbinguni! She's very smart and bright!

Huwezi mlinganisha na wake wa marais wote ambao tumewahi kuwa nao nchi hii... Nilitamani sana awe first lady, tungeona mabadiliko makubwa sana ktk ofisi yake, na watangulizi wake...!
 
To be frank nilikuwa simfahamu mama Regina Lowassa vizuri,ndo nimemfahamu ktk kipindi hiki.She a strong woman.Kama kanuni zingekuwa zinaruhusu huyu mama angepewa viti maalum kule Bungeni.Ni hazina huyu mama.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
shujaa WA monduli labda kwetu ni mama magufuli ndio shujaa
 
Huyu mama nimemdharau sana kwa kushndwa kumshauri mumewe atulie ndani ya ccm baada ya kukatwa..sasa wamepata aibu,urais wameukosa na bado lupango panawasubiri.
 
Mimi nilivoona anajisifia kunywa bia kwa furaha huku akipgwa kofi sehem za tako na jamaa nakajua basi tena
 
Huyu mama, Mungu aniwie radhi, ila angekuwa mama yangu, ningejiona mfalme mbinguni! She's very smart and bright!

Huwezi mlinganisha na wake wa marais wote ambao tumewahi kuwa nao nchi hii... Nilitamani sana awe first lady, tungeona mabadiliko makubwa sana ktk ofisi yake, na watangulizi wake...!

Saa hizi sifa zimwendee Regina, na siyo Edo!!!!!!!!!!!!!
 
Mshumbuz nae mlimwita shujaa hivi hivi,,,mitanzania kwa kusahau haijambo! Magufuli kakejeliwa sana! Mara hoo kauza nyumba kwa kimada wake,,mara wametengana na mkewe ndio maana haoni kwenye kampeni,,lkn mama yule alikaa kimya huku akiendelea kulea watoto wake..yule ndo shujaa zaidi!!

Ndug umetia foraaa,,,,hvi nani kadhalilishwa???? Magufuli au Lowassa???? Weka ushabk maandaz pemben ndo uchague
 
Huyu mama, Mungu aniwie radhi, ila angekuwa mama yangu, ningejiona mfalme mbinguni! She's very smart and bright!

Huwezi mlinganisha na wake wa marais wote ambao tumewahi kuwa nao nchi hii... Nilitamani sana awe first lady, tungeona mabadiliko makubwa sana ktk ofisi yake, na watangulizi wake...!

Chadema wangempa viti maalum tu
 
Back
Top Bottom