rais wangu ambae nimeweka picha yake kwenye frame na kuitundika ofisini kwangu hongera sana kwa kupata mke wenye akili kama condoresa rise mwambie wenyekiti mbowe ampe ubunge wa special seat coz she have brain yeye pamoja na halima mdee wataifanya bawacha kuwa taasisi imara sana na Huyu mama ni presidential material kabsa miaka ijayoo agombee urais am sure tutampa kura na wewe utakuwa first gentromen so ndoto yako ya kuingia ikulu itakuwa imekamilika kwa njia hyo bt for now ccm wameshatushika pabaya sana
Una uhakika muungano utaendelea ...ndio maana wameweka mpira kwapaniRais ni Magufuli. MARAIS WA VYAMA WATAENDELEA KIVYAOVYAO
Huyu mama, Mungu aniwie radhi, ila angekuwa mama yangu, ningejiona mfalme mbinguni! She's very smart and bright!
Huwezi mlinganisha na wake wa marais wote ambao tumewahi kuwa nao nchi hii... Nilitamani sana awe first lady, tungeona mabadiliko makubwa sana ktk ofisi yake, na watangulizi wake...!
Tutampa tu kwani hakuna namna nyingine ya kumkwepa na hii haki