Regina Lowassa awapa mbinu BAWACHA kuing’oa CCM

Ila wanawake wa chadema ukiwaangalia tu unajua wanajitambua tuseme ukweli jamani.
 
Ngoja nyumbu waone unasema mgombea wao alikuwa mgonjwa taabani:D.
Mbona nyie CCM Magufuli anaanguka huko ikulu na kupoteza fahamu ninani asiyejua. Anaumwa tumbo linajaa haponi nani asiyejua.
Tafuteni mafundi watengeneze hiyo bombardier nasikia imebuma.
 
Tatzo la watanzania tushaweka mawazo yakua ccm haiwez ondoka madarakan, why? Con cha ajabu ccm ikiondoka madarakan
Tafadhali bwana. Mawazo haya ni ya vijana wa Lumumba usitujumuishe watanzania wote.
 
Upinzani mbinu ni moja tu TUME HURU...... kma hamna tume huru mambo yatakuwa yaleyale ya CCM kubeba ushindi wa mezani
 
Hivi ni nani aliyetandikwa vibao (mbata) huko juu?
Si mliiba? Kwani CCM ilishinda uchagyzi? Msitufanye wajinga. Tunafahamu kwa uwazi na hata ninyi mnajua kwamba mliiba kura nakibadili matokeo mkjipa ushindi kwa nguvu ya Tume na polisi. Acheni unafiki, semeni ukweli.
Hizo mbinu kwanini asingempa mumewe hadi akapigwa chini na Kikwete dodoma na hatimaye kugalagazwa na Magufuli kwenye uchaguzi mkuu.
 
Watu wanaongea kama vitu vya mchezo wa kuigiza, mmejipanga vipi kwanza na kwa timu ipi na inaongozwa na nani?, mmekubalika kwa kiwango gani na wananchi wa rika zote, kabila,dini na hata nje ya mipaka? Maana kama hamjapiga mahesabu vizuri mtatwanga maji kwenye kinu kila uchao
Huwezi kuwa hukubaliki afu uvune kura mamilioni zaidi ya 6 ukizingatia tume ni ya kiccm..... shida ni tume kma ni kukubalika upinzani umeshakubalika sana tatizo ni tume no wonder mkiwashinda wanafuta matokeo afu badala ya kuliona hilo mnakuja kuongelea ukanda na ukabila!!!
 
Upinzani mbinu ni moja tu TUME HURU...... kma hamna tume huru mambo yatakuwa yaleyale ya CCM kubeba ushindi wa mezani
Bila tume huru upinzani hata wamsimamishe nani lazima wasomeshwe namba.

Hivi nani asiyejua kule Zanzibar CUF huwa wanashinda kila uchaguzi mkuu ila wanafanyiwa figisu.
 
Back
Top Bottom