Regime Change Inakuja Tanzania.

Regime Change Inakuja Tanzania.

Kwa taarifa yako, huyo kibaraka atakayewekwa na hao senetors wa mabeberu tutamwondoa sisi wenyewe kwa mkono yetu. Wala hatuhitaji msaada wa mtu yeyote toka nje. Kawaambie hao walikutuma kuwa mpango wao umeshashindwa tayari kabla hata ya kuanza.
we nani? kwa sauti ya makongoro
 
Kweli haya ni mazazo yako... mimi sina wazu! Bali na sema. TUJITEGEMEE na tuache uoga kwa kuwa wadadisi namna ya kujitegemea huku tukidhibiti vikwazo vya namna yoyote ama kutoka ndani ama nje ya nchi yetu.
Ndio maana kuna kitu inaitwa diplomasia, maana yake ni maelewano...ujitegemee kama bado, jitegemee kwa kuelewana na wengine..

Hapa tz wanaolalamika wengne sio waliokwapua pesa...ni maskini tu was mungu..hawana makosa yoyte...msiteteetetee siasa msizozielewa...kosa la serikali ni tabia ya kukomoana katika kunyoosha mambo..

Kwa mfano, kwa nini sheria isifuate mikondo yake? Rule of law?

Serikali watu wanaonaina mipango mizur kwa mini haipendi kuelewana kupungiza gharama itatue shida zingine kama Vifo nk

Wazee wastaafu kuna haja gani kuwawekea fedha zao 75%

Watumishi wamemkosea mini kuwabinya?

Kama unakubalika kwa mini usiache kukubalika huko badala ya kulazimisha watu wakukubali.

Mahakama za mafisadi..ni nani amepinga hill

Elimu bure unadhani hii kitu ya bure inatija?

Na mengine mengi....

Mh Rais namkubali, lkn matendo ya bashite kupambana na ishu za madawa, makahaba, inahitaji high level diplomacy. So vitu vizur Ila kama kweli unaniankupambana, inahitajika busara, diploma sia ni busara.

Wateule wengine wanafanya comedy, wengine wanaonyesha ukomavu kama Dada etu mwegelo..mungu amzidishie, wateule wengi vijana wapo sawasawa.. Lkn njoo huko juu mzee panic nyingi. Tz ni Tanzania. Tz sio Rwanda napata ugwadu MTU akitutaka tuwe kama Rwanda sijui wapi..ni upuuzi... tan ni tan
Wtu wake wanatabia tofauti za wengine
 
WAHITIMU WA VYUO VIKUU INTAKE NNE HAWAJAAJILIWA,WATUMISHI HAWAJAPANDISHWA MISHAHARA.



MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KUWAPA 25% WASTAAFU.NILIOWATAJA HAO NI WAPIGA DILI???

MPIGA DILI NI NANI HASA?? ALIYETIA KIBINDONI TRION 1:3 BILA MAELEZO NAYE ATAITWAJE ? MPIGA DILI AU MWIZI MKUU.

KUMINYA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA SHUGHULI HALALI ZA KISIASA.

WATU KUPOTEA NA WENGINE KUTWANGWA RISASI MCHANA KWEUPE, KWELI WEWE NI BOYA KABISA.


NDIO MAANA MIMI HUWA NASEMA UZAZI WA MPANGO NI MUHIMU SANA......SHAME ON YOUR POOR NARROW MINDED THINKER
I hate people who have tunnel thinking capacity, get out there and have fresh mind brother.

Huwezi kuajili tu eti kwasababu watu wanagraduate, serikali ina fanya mambo kulingana na demand, plans, efficiency na priorities za wakati husika. Kanye West ashawahi sema kwenye wimbo wake wa Good morning Album ya Graduation kwamba "people are graduating but we are still stupid"

Darasa la saba wanajiajili baadae wanakuja kuwaajili graduates, what a shame.

Hakuna sehemu watu wanatwangwa risasi hadharani kama USA, labda kama macho yako yanamatege na masikio yako yametiwa pamba za maiti.

Putin ni Mzungu, nenda kwenye nchi yake fuatilia kama waandishi wa habari wanaweza kuandika uharo akawaacha salama, wamemfanyaje?

Shughuli za maendeleo huzioni mpaka unaulizia hela ambayo hapo mwanzo hata haijulikani ilikuwa inafanya nn, mwenye macho haambiwi tazama.
 
Poyoyo!ninawasiwasi sana tungetawaliwa na wakoloni miaka hii tusingeweza kujikomboa hata kidogo!!!MTU anaamini sana wazungu waje wamkomboe mmmmh
mahali pengine afrika na duniani imeshatokea
 
Jpm jitathimini ona wananchi wsnavyokuchoka kwa speed.Wewe ni rais mzuri tatizo umekosa busara tu ya kuishi na jsmii inayokuzunguka.
 
Zadi ya kuonyesha uwezo wako mdogo hakuna kingine. Umewapa hadhi kubwa tofuati na uhalisia. Hawana uwezo wowote endapo Tanzania itakuwa kitu kimoja
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Wewe chapa kazi tu. Usikose usingizi kwa kudhania kiama ni kesho. Hizo fikra ni sawa na fisi anayemfuata mtu akitegemea mkono unaoning'inia karibu utadondoka aule. Mbona Fidel Castro mpaka Mola akamchukua hawakufua dafu? Vipi na Korea ya Kaskazini? Vietnam nako walipiga mabomu kuzidi mabomu yote yaliyopigwa katika Vita Kuu ya dunia lakini Mvietnam anatumia bunduki yake ya gobole na akafanikiwa kuwadhibiti Marekani. Kama serikali inafanya inachokiamini kwa manufaa ya nchi yake hakuna cho chote
kitakachotokea.
 
Wapigaji Tanzania walikuwa wengi kiasi kwamba ikawa ni Tabia ambayo ni kama ngozi sasa, nasikia vilio kila kona ya mji baada ya Dr. Kuanza kuzichuna hizo ngozi sasa, ushahidi ni comments nyingi za hapo juu, bado kuzibanika tu nyama zenu kabisa tule ndafu. Mtasubiri sana na madua ya kuku kwa mwewe na bado mtanyakuliwa
Vizee vya watu vinavyostaafu na vyenyewe vilikuwa vipigaji?
 
It will never happen
It’s a season to be happy uwiii
Sitaki ugomvi!
 
Marekan kumuondoa Rais reckless kma Magu ni vyepesi sana. Yan wanaexpose tu mahovu yake. Wananch wanavimba, dunia nzima inavimba na kumdindia. Bac anatoka na akileta ubishi anatoka kwa kipigo cha mbwa koko.
Mfano zikionyeshwa picha za setilite zikimuonyesha Mzee Chongo akimhoji na kumlazimisha MO aachie something kipindi kile amechukuliwa na wasiojulikana tutasemaje? au uzalendo? kiongozi wa wasiojulikana akipata maagizo ya mwisho kabla ya kwenda Dodoma ile septemba 2017 na pia maelezo ya awali ya simu yaliyo naswa yakieleza kuwa mission accomplish kweli tutabaki na misimamo hii tuliyonayo?
Kashogi pamoja na Saudi kuwa na maendeleo zaidi yetu mambo kadharani sasa hivi hivyo hawa jamaa wakitaka kutuumbua ni mara moja tuu. Mchonga alikuwa anauwezo wa kuwavimbia wazungu kwa vile hakuwa na mambo ya kihunihuni kama haya wala ya kishenzi
 
Back
Top Bottom