Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Ni biashara kaka mali kwa maliKumbe!
Ni biashara kaka mali kwa maliKumbe!
OMG! Nilishasahau kama December ndio unaisha! Thanks sana. Na kwako piaMerry Christmas kaka
"I'm not a businessman. I'm a business!" Jay ZNi biashara kaka mali kwa mali
Amka sasa kumekucha tayari.Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Majizi mnapata tabu sana.Apigwe chini tu sioni umuhimu wake zaidi ya uharibifu jitu roho chafu utafikiri nyonganyonga
Si unaona sasa bado unarudi pale pale, Hotel wanazo watu hapa Tanzania ambao hawajafika darasa la saba sembuse mtu kawa mbunge toka enzi za mwalimu? Bado kawa waziri, mbona kina sugu term mbili tu wanamahoteli? Unashangaa nn sasa hapo?
Unajua ni kwakiasi gani nafasi ya Trump State house inamtengenezea mazingira mazuri kwenye investments zake achilia mbali direct benefits
Kwani uhuru tulipataje. Wageni unaowabeza ndio walioiwezesha Tanzania kupata uhuru bila ya kumwaga damu. Mwalimu alizunguka Dunia nzima kwa wazungu. Wazungu wakaweka mbinyo kwa mzungu mwenzao, akaondoka.Unajisifu kuwekewa kiongozi na wageni? Au sijakuelewa?
Nimemjibu kulingana na alivyokuja, actually hakuna ushahidi kwamba Hotel anayoiongelea inamilikiwa na nani by the way maana hajataja mtu, hivyo nivigumu kukujibu kama form ya nani imejazwa mali zipi ama la!Uko sawa, je kwenye ile fomu ya mali anazomiliki kiongozi kai/zitaja hizo hoteli? Na kama hajazitaja ni kwanini?
Unachanganya mambo. Wenzetu wapo very strict kwenye mgongano wa kimaslahi.Si unaona sasa bado unarudi pale pale, Hotel wanazo watu hapa Tanzania ambao hawajafika darasa la saba sembuse mtu kawa mbunge toka enzi za mwalimu? Bado kawa waziri, mbona kina sugu term mbili tu wanamahoteli? Unashangaa nn sasa hapo?
Unajua ni kwakiasi gani nafasi ya Trump State house inamtengenezea mazingira mazuri kwenye investments zake achilia mbali direct benefits
Upuuzi mtupu.Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Amenishangaza sana mkuu.Unajisifu kuwekewa kiongozi na wageni? Au sijakuelewa?
Sasa wewe uhuru tulipataje wakati tunatakiwa kupangiwa kila kitu na hao wazungu mpaka leo? Hujasoma Neo Colonialism? Bado tupo kwenye mapambano ya kutafuta uhuru, fuatilia Bunge la south Africa akina Malema wanavyopigana katiba ibadilishwe wazawa warudishiwe land yao without compensation.Kwani uhuru tulipataje. Wageni unaowabeza ndio walioiwezesha Tanzania kupata uhuru bila ya kumwaga damu. Mwalimu alizunguka Dunia nzima kwa wazungu. Wazungu wakaweka mbinyo kwa mzungu mwenzao, akaondoka.
Afrika Kusini, mapambano ya silaha hayakumtetemesha kaburu. Lakini US na UK waliposema wanaunga mkono kukomeshwa kwa ubaguzi wa rangi baada ya kuombwa sana na AU, ilikuwa mwisho wa utawala wa makaburu.
Ni mjinga pekee ndiye anaweza kupuuza nguvu ya hawa watu katika kuleta mabadiliko ya utawala, wakitaka.
Ndo maisha ya Watanzania walio wengi kuishi kwa dhana badala ya uhalisia kwa yanayoonekana.Hivi ni kweli huwa hamuoni mazuri ya Mh Rais?Kuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.
Huna lolote unalolijua umebaki kuandika majina ya watu tu. Marekani haina ushirika wa kweli na Nchi yoyote ikiwemo izo za ulaya.Izo nchi kilasiku zinalalamika zinadukuliwa taarifa zake, Sisi kama nchi hatuna lolote la kumtishia mmarekani na yeye hana mpango wowote na sisi. Kinachofanyika ni urafiki wa ki ndumilakuwili uliopo kati umoja wa Ulaya na Marekani. Izo Nchi za ulaya ambazo zinazosemekana zina demokrasia ndizo zenye magereza mengi ya siri na utesaji yanayo tumiwa na Marekani kuhifadhia watuhumiwa.Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Sasa wewe uhuru tulipataje wakati tunatakiwa kupangiwa kila kitu na hao wazungu mpaka leo? Hujasoma Neo Colonialism? Bado tupo kwenye mapambano ya kutafuta uhuru, fuatilia Bunge la south Africa akina Malema wanavyopigana katiba ibadilishwe wazawa warudishiwe land yao without compensation.
Mtumwa wewe bado huelewi kwamba unatawaliwa na ndio maana haikusumbui kumtawaza bwana wako, wapo watumwa wanaoteseka na hiyo hali na ndio wanaopambana usiku na mchana kuondoa vijichembe vya slavery vilivyosalia. Acha wanaume wapambane wewe kula, kojoa ukalale.
Afu unaweka picha ya Mandela hujui mzee alipambana South kiasi gani, kawaachia vita vijana wake waendeleze maana yeye katoka jela ashazeeka, vijana mnabweteka, eti baba alimaliza kila kitu sisi ni kula matunda tu, nyie watoto zenu mtawaachaje .
Nimemjibu kulingana na alivyokuja, actually hakuna ushahidi kwamba Hotel anayoiongelea inamilikiwa na nani by the way maana hajataja mtu, hivyo nivigumu kukujibu kama form ya nani imejazwa mali zipi ama la!
Akili za mange kimambi hizi..Wale washika bunduki wametengenezwa Rwanda