Regime Change Inakuja Tanzania.

Regime Change Inakuja Tanzania.

Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Regime change? Why msubiri wazungu wawafanyie regime change? Kama hamuutaki utawala si muutoe tu 2020? Hao wazungu regime change zao huanza kwa vikwazo vya uchumi ambavyo huumiza zaidi wananchi kuliko watawala na hufanya hivyo ili wananchi wachukie waingie barabarani ila mpaka ifikie watanzania waingie barabarani uchumi utakua umekufa kabisa maana watanzania sio watu wa vurugu. Tumieni masanduku ya kura kubadili viongozi msiombe kuwekewa vikwazo vya uchumi maana wanyonge ndio mtaumia na sio watawala
 
Mi mwenyewe nilishtuka kuona pendekezo la kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na Wa haki Kwa Kuwait hawa jamaa hawashindwi kit u.
 
Wapigaji Tanzania walikuwa wengi kiasi kwamba ikawa ni Tabia ambayo ni kama ngozi sasa, nasikia vilio kila kona ya mji baada ya Dr. Kuanza kuzichuna hizo ngozi sasa, ushahidi ni comments nyingi za hapo juu, bado kuzibanika tu nyama zenu kabisa tule ndafu. Mtasubiri sana na madua ya kuku kwa mwewe na bado mtanyakuliwa
Hapa tulipo tumeshapigwa 1.5 T
 
Regime change ndoto za Abunwasi.
Tweet haziwezi kumuondoa Magufuli,out of 50 millioni Tanzanians ni wangapi wanafuatilia harakati hizo?
Ikiwa hata kujitokeza kushiriki maandamano hamukusogea,hiyo kubeba siraha mtaweza?
Hakuna jambo kama hilo.
Huwa wanatuma drone, hawahitaji waandamanaji
 
Hata kama hatuipendi ccm lakini kuna mahali ifikie tusimame wenyewe kama watanzania maana hiki wanachokitamani wengine kikija kutokea hapa ujue hakina chama.
Regime change? Why msubiri wazungu wawafanyie regime change? Kama hamuutaki utawala si muutoe tu 2020? Hao wazungu regime change zao huanza kwa vikwazo vya uchumi ambavyo huumiza zaidi wananchi kuliko watawala na hufanya hivyo ili wananchi wachukie waingie barabarani ila mpaka ifikie watanzania waingie barabarani uchumi utakua umekufa kabisa maana watanzania sio watu wa vurugu. Tumieni masanduku ya kura kubadili viongozi msiombe kuwekewa vikwazo vya uchumi maana wanyonge ndio mtaumia na sio watawala
 
Kwa taarifa yako, huyo kibaraka atakayewekwa na hao senetors wa mabeberu tutamwondoa sisi wenyewe kwa mkono yetu. Wala hatuhitaji msaada wa mtu yeyote toka nje. Kawaambie hao walikutuma kuwa mpango wao umeshashindwa tayari kabla hata ya kuanza.
Mbona mmeshindwa kuwatoa wanajeshi wa Kagame wanaolala ikulu, mtawaweza wamarekani?
 
I do not think so. There will never be forced regime change in Tanzania. Anyone attempting to forcefully remove a democratically elected president is worse than the allegations made against the regime. How can such an act be legitimate?
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji

Ni kweli wanaweza kuingilia siasa za nchi hata kubadili uongozi. Ila hili kwa Tanzania haitotokea, naamini Rais atayafanyia kazi mapendekezo muhimu yenye kuheshimu haki za binadamu.

Pia kusema kuwa "hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu" umekuza sana na kuwafanya hawa watu kama miungu. Hawa ni watu tu, huku tunakopita iwe kiuchumi au kisiasa nao walipita pia...ubaya zaidi wao walikuwa makatili wabaya kuliko ilivyo kwetu.

Naamini Tanzania inaelekea pazuri sana na itakuwa nchi ya kutolewa mfano Africa...hapa tunapopita tunapita ili kutengenezwa na kuimarishwa. Kumbuka kuwa ili dhahabu iwe nzuri lazima ipite kwenye moto...mabaya na mapungufu yote ya sasa ni maandalizi ya kuwa na tanzania yenye katiba imara na mihimili inayojisimamia, ni mlango na matengenezo ya kufahamu uchumi ili uwe uchumi wenye kugusa watu na maendeleo untakiwa usimamiwe kwa misingi na kanuni zipi.

Naiona Tanzania mpya, Naiona nuru ikiijilia Tanzania.
 
Box la kura ndo limeshakataliwa, mawakala wanakataliwa kuingia vyumba vya kupiga kura adharani
Kwa ballot box itatuchukua miaka 200 kuwaondoa CCM madarakani.Tunahitaji tume huru ya uchaguzi.Polisi wafanye kazi ya kulinda raia na Mali zao waachane na siasa.Tunasikitika Tume za Haki za binadamu wako kimya?Mama Kijo mko wapi LHRC na wengine au mmenunuliwa.Kama mnagopa kufungwa basi tafuteni kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom