Regime Change Inakuja Tanzania.

Regime Change Inakuja Tanzania.

Kwa taarifa yako, huyo kibaraka atakayewekwa na hao senetors wa mabeberu tutamwondoa sisi wenyewe kwa mkono yetu. Wala hatuhitaji msaada wa mtu yeyote toka nje. Kawaambie hao walikutuma kuwa mpango wao umeshashindwa tayari kabla hata ya kuanza.
 
Mtukufu asitegemeevukinzi wa Askari wa Kagàme tu, atembee na matank ya hewa kabisa, hata hewa anayovuta haiko salama.

Kusema kweli kwa teknologia iliyopo sasa, hawa wakubwa wanaojiona wana ulinzi wa bunduki zinazowazingira kila upande ni kujilinda na warusha tope tu mitaani.
 
Kuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.
Huko USA kwa weupe mnaowaona kama Mungu kwa kuendekeza mifumo yao (usiongelee misaada maana hata wao wenyewe mioyoni mwao wanajua wanastahili kutusaidia maana walichangia na wanaendeleza kiushusha Africa kimaendeleo kwa wizi wa kalamu) Donald Trump anakutana na kina Kanye West Hotelini kwake tena kwa vikao maalumu kabisa. ... sioni tatizo hapo ndugu as akinya bata kaharisha ila ukinya wewe umetoa haja kubwa. .. these are double standards of its kind
 
Donald Trump alikua tajiri kabla hajawa rais, nieleze mali alizochuma katika miaka mitatu ya Urais wake.

Huku kwetu hata walala hoi wamezuiwa kuvua samaki Ziwa Victoria kisa kigogo anafungua kiwanda cha minofu ya samaki.
 
Donald Trump slikua tajiri kabla hajawa rais, nieleze mali alizochuma katika miaka mitatu ya Urais wake.

Huku kwetu hata walala hoi wamezuiwa kuvua samaki Ziwa Victoria kisa kigogo snafungua kiwanda cha minofu ya samaki.
Si unaona sasa bado unarudi pale pale, Hotel wanazo watu hapa Tanzania ambao hawajafika darasa la saba sembuse mtu kawa mbunge toka enzi za mwalimu? Bado kawa waziri, mbona kina sugu term mbili tu wanamahoteli? Unashangaa nn sasa hapo?
Unajua ni kwakiasi gani nafasi ya Trump State house inamtengenezea mazingira mazuri kwenye investments zake achilia mbali direct benefits
 
Poyoyo!ninawasiwasi sana tungetawaliwa na wakoloni miaka hii tusingeweza kujikomboa hata kidogo!!!MTU anaamini sana wazungu waje wamkomboe mmmmh
 
Donald Trump slikua tajiri kabla hajawa rais, nieleze mali alizochuma katika miaka mitatu ya Urais wake.

Huku kwetu hata walala hoi wamezuiwa kuvua samaki Ziwa Victoria kisa kigogo snafungua kiwanda cha minofu ya samaki.

Mtaje hapa ni kigogo gani??usaidie watu kwa nafasi yako.
 
Poyoyo!ninawasiwasi sana tungetawaliwa na wakoloni miaka hii tusingeweza kujikomboa hata kidogo!!!MTU anaamini sana wazungu waje wamkomboe mmmmh
Sure mkuu, tena kwa kizazi hiki cha kwenye smartphonestukitawaliwa kimabavu itakuwa rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuurudisha tena uhuru kiduchu tulionao sasa
 
Kuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.
Lakini hili hata Trump analifanya, sisemi sio kosa. Nafahamu ni conflict of interest, lakini inachekesha kwamba anayekwambia usijikojolee yeye kajiharishia. Mi naona Viongozi wote majizi tu yakipata nafasi.
 
Hapo juu umesema watamuondoa yeyote hata awe analindwa na majeshi toka mbinguni

Chini unauliza wataweza kumuondoa Magufuli.

Dah haya sawa
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom