Regime Change Inakuja Tanzania.

Regime Change Inakuja Tanzania.

Matusi ndiyo lugha yenu
Mjinga ni mtu asiye na elimu juu ya jambo fulani, wewe ni "Mjinga" maana hujui ukweli wa unayoyasema, unapotosha jamii ili roho yako isuuzike,
Walinzi wa Rais ni vijana wa kitanzania ndugu zetu, na ndiyo wenye jukumu hilo, hakuna uwezekano wowote wa watu wa nje kuja ikulu kulinda rais wetu.

Elewa hivyo, ushabiki wenu pelekeni facebook.
 
nacheka kama mazuri yani wale jamaa fisiem ovyo kabisa
Box la kura lipi mkuu, hili hili ambalo Polisi na Ccm wanaweza kundoka nalo likiwa tupu na kulirudisha limejaa na Tume ya uchaguzi ikalitambua na kulihesabu na mccm akashinda kwa kishindo?
 
Wamemshmdwa nkurunziza sembuse tz na jiwe,
ingawa jiwe halina cha maana lakn kulitoa ni kaz
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Ni kura za Watanzania ndiyo zitaleta hiyo "Regime Change" na si vinginevyo. Hivyo basi endelea kuota ndoto za mchana kuwa nje ya kura kutakuwa na mabadiliko unayoyataka ya utawala.

Wale unaotaka wapewe utawala wa nchi hii kamwe hawatapata labda kwa mtutu wa bunduki, kitendo ambacho hakitatokea.
 
Vizee vya watu vinavyostaafu na vyenyewe vilikuwa vipigaji?
Chukulia mfano mtu amezoea kupokea laki tatu kila mwezi, budget yake inacheza hapo miaka nenda rudi, leo unampatia millioni Mia ishirini kwa mkupuo, hana cha business plan wala financial management zaidi ya mipango hewa ambayo haitekelezeki ama ndio itamdidimiza kabisa, tayari umri umekwenda hawezi kuchakalika ili kumanifest mawazo yake ambayo kimsingi alitakiwa awe ameanzisha mapema zaidi ya kuwategemea watoto, ndugu na jamaa wasimamie ambao majority wanamchukulia kama dili kwa wakati huo. Mpe miaka mitatu atakuwa kachoka mithili ya mbwa koko maana wengine wanaongezaga mpaka wake.

Hapa kuna exceptional cases lakini majority ya wastaafu wanakufa kwa pressure baada ya kuukata mazima. Hakuna namna nyingine ya kuwasaidi zaidi ya hii.
 
Ndo maisha ya Watanzania walio wengi kuishi kwa dhana badala ya uhalisia kwa yanayoonekana.Hivi ni kweli huwa hamuoni mazuri ya Mh Rais?
Gadaffi alikuwa na mazuri mara mia ya huyu lakini walimuondoa kwa aibu na mateso makubwa hadi kifo kwa nini? kwa sababu hakujali utu wa watu, mateso na mauaji kwa wengine huku akijiona yeye ni next to Mungu.
Urais ni utumishi kama utumishi mwingine ila huo unapaswa kuwa makini sana kuliko kawaida kwa sababu katiba inakupa heshima na uwezo kuliko kazi zingine zote.
Ndio maana wanaajiriwa wataalamu lukuki wa kukushauri usipotee katika kuongoza. Shida ni kuwa majidai na kiburi ndio kinaanzia hapo
 
Mngekuwa hata na akili mngetafakari tu kwamba hivi Uganda, Congo Rwanda na Burundi kote huko hiyo regimen imefanyika?

Ukiwa na akili za kushikiwa kama chadema walivyo utaona kwamba tanzania ina hali mbaya zaidi kuliko hizo nchi hapo juu.
 
Umefunga Mada, zaidi ya hapo itakuwa ni utumbo wa kuku
 
Mfano zikionyeshwa picha za setilite zikimuonyesha Mzee Chongo akimhoji na kumlazimisha MO aachie something kipindi kile amechukuliwa na wasiojulikana tutasemaje? au uzalendo? kiongozi wa wasiojulikana akipata maagizo ya mwisho kabla ya kwenda Dodoma ile septemba 2017 na pia maelezo ya awali ya simu yaliyo naswa yakieleza kuwa mission accomplish kweli tutabaki na misimamo hii tuliyonayo?
Kashogi pamoja na Saudi kuwa na maendeleo zaidi yetu mambo kadharani sasa hivi hivyo hawa jamaa wakitaka kutuumbua ni mara moja tuu. Mchonga alikuwa anauwezo wa kuwavimbia wazungu kwa vile hakuwa na mambo ya kihunihuni kama haya wala ya kishenzi
Hizo Satellites picture zako ni Videos au hiyo technology unaisikia tu!! Najua wapo mashabiki maandazi utakaowapata lakini wachache sana.
 
Mleta mada, sasa wewe unashangalia ama? Kwa taarifa yako Magufuli atabaki hapa mpaka 2025 na atakuwa kaiacha nchi katika dunia ya pili.
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Wewe wa ajabu kweli !!! Ulindwe na jeshi kutoka mbinguni alafu ukaondolewa?
 
Kwa ua
I hate people who have tunnel thinking capacity, get out there and have fresh mind brother.

Huwezi kuajili tu eti kwasababu watu wanagraduate, serikali ina fanya mambo kulingana na demand, plans, efficiency na priorities za wakati husika. Kanye West ashawahi sema kwenye wimbo wake wa Good morning Album ya Graduation kwamba "people are graduating but we are still stupid"

Darasa la saba wanajiajili baadae wanakuja kuwaajili graduates, what a shame.

Hakuna sehemu watu wanatwangwa risasi hadharani kama USA, labda kama macho yako yanamatege na masikio yako yametiwa pamba za maiti.

Putin ni Mzungu, nenda kwenye nchi yake fuatilia kama waandishi wa habari wanaweza kuandika uharo akawaacha salama, wamemfanyaje?

Shughuli za maendeleo huzioni mpaka unaulizia hela ambayo hapo mwanzo hata haijulikani ilikuwa inafanya nn, mwenye macho haambiwi tazama.
Kwa uandishi huu inaonyesha una IQ ndogo sana, pia huenda uliugua utapiamlo utotoni
 
Mleta mada, sasa wewe unashangalia ama? Kwa taarifa yako Magufuli atabaki hapa mpaka 2025 na atakuwa kaiacha nchi katika dunia ya pili.
Amen na huu ndio ukweli wenyewe and atakuwa Rais atakaekumbukwa kwa kazi nzuri na kusifiwa sana.
 
Chukulia mfano mtu amezoea kupokea laki tatu kila mwezi, budget yake inacheza hapo miaka nenda rudi, leo unampatia millioni Mia ishirini kwa mkupuo, hana cha business plan wala financial management zaidi ya mipango hewa ambayo haitekelezeki ama ndio itamdidimiza kabisa, tayari umri umekwenda hawezi kuchakalika ili kumanifest mawazo yake ambayo kimsingi alitakiwa awe ameanzisha mapema zaidi ya kuwategemea watoto, ndugu na jamaa wasimamie ambao majority wanamchukulia kama dili kwa wakati huo. Mpe miaka mitatu atakuwa kachoka mithili ya mbwa koko maana wengine wanaongezaga mpaka wake.

Hapa kuna exceptional cases lakini majority ya wastaafu wanakufa kwa pressure baada ya kuukata mazima. Hakuna namna nyingine ya kuwasaidi zaidi ya hii.
A true definition of stupidity!

Kustaafu si ajali kusema kama kunatokea ghafla. Ikiwa lengo ni kuwaandaa wastaafu waishi vyema, mbona usiandaliwe mpango wezeshi wa kuwaweka karibu na fursa ili mara wanapostaafu wawe na tija zaidi kwa jamii badala ya kuwatreat kama wagonjwa wa akili? Maana yafahamika hata miaka 6 kabla kwamba fulani anastaafu lini na atapata kiasi gani.

Unazizungumzia milioni 120 kama elfu 70 vile. Wewe, 120m huyo ni mwekezaji mwenye kuweza kuajiri watu 10+. Brick Factory, Horticulture, Poultry Keeping na hata namna nyingine za ukulima wa mazao ya muda mfupi. Najua huwezi kuyawaza haya kwa kuwa ubongo wako ni very limited, lakini acha nikupe dokezo: Ukienda VETA pale CHANG'OMBE, kuna watu wenye mtazamo chanya wanawafunza WATU WENYE TAAHIRA YA AKILI UFUNDI ILI WAWE PRODUCTIVE na IMEWEZEKANA. Ikiwa mwenye taahira ya akili anafundishwa kushika RANDA na anatengeneza fanicha, nikuiteje wewe unayewaona WASTAAFU (watu wazima na akili zao) kuwa useless to such an extent?

Shida ya mtu mjinga ni kuwa ikiwa hafahamu kitu basi yeye anaamini HAKIWEZEKANI. Mstaafu sio mgonjwa...elewa hivyo. Hii ni namna ya kishetani kabisa ya kupoka utashi wa mtu na kuanza kumuaminisha kuwa 'wewe ni wa kusubiri kufa tu', 'akiba yako inakufaa kula tu'.

Hizo milioni 120 zikiwekwa kwenye fixed deposit account, hazitengenezi faida? Na ile principal amount si itabaki kuwa mali ya mstaafu? Mtu kama wewe ndio unafaa kushikiwa hela zako, maana akili zako zinajidhihirisha kwa maneno yako. Lakini siamini kuwa Watanzania wote ni finyu wa fikra namna unayotaka tuwe. Kama tunashindwa kuwezeshana badala yake tunadumazana na kudharauliana, mnaumia nini tukidharauliwa na wanaotutazama?
 
I hate people who have tunnel thinking capacity, get out there and have fresh mind brother.

Huwezi kuajili tu eti kwasababu watu wanagraduate, serikali ina fanya mambo kulingana na demand, plans, efficiency na priorities za wakati husika. Kanye West ashawahi sema kwenye wimbo wake wa Good morning Album ya Graduation kwamba "people are graduating but we are still stupid"

Darasa la saba wanajiajili baadae wanakuja kuwaajili graduates, what a shame.

Hakuna sehemu watu wanatwangwa risasi hadharani kama USA, labda kama macho yako yanamatege na masikio yako yametiwa pamba za maiti.

Putin ni Mzungu, nenda kwenye nchi yake fuatilia kama waandishi wa habari wanaweza kuandika uharo akawaacha salama, wamemfanyaje?

Shughuli za maendeleo huzioni mpaka unaulizia hela ambayo hapo mwanzo hata haijulikani ilikuwa inafanya nn, mwenye macho haambiwi tazama.
KWA HIYO KATI YA WAHITIMU HAKUNA ANAYEDESERVE AJIRA ???

FIRST MISTAKE CAN'T USED TO JUSTFY THE SECOND,ETI AMERICA HII NI TZ.

KWA AKILI YAKO KIPAO MBELE NI NDEGE KWA CASH BADALA YA AJIRA KWA WAHITIMU THE FUTURE TAX PAYER!

HIVI UNATAKA KUSEMA TANZANIA CIVIL SERVANTS WAMETOSHA HAWAITAJIKI TENA ???ABSOLUTELY NO JUST DO MINOR RESEARCH BY INTERVIEW IN VARIOUS SECTORS YOU WILL SEE THE REALITY.

BY THE WAY TRY TO BE OBJECTIVE,I CAN SEE FROM YARDSTICK WAY THAT YOU HAVE COMMITED FALLACIES.
1:FALACY OF GENERALIZATION, 2:FALACY OF IGNORANTIO AND COMPLETELY LACK OF RATIONALE.
YOU ARE WELCOME FOR FURTHER DISCUSSION
 
Back
Top Bottom