Regime Change Inakuja Tanzania.

Regime Change Inakuja Tanzania.

Hata kama hatuipendi ccm lakini kuna mahali ifikie tusimame wenyewe kama watanzania maana hiki wanachokitamani wengine kikija kutokea hapa ujue hakina chama.
That’s exactly ndicho ninachokisema, tusiombe kuwekewa vikwazo vya uchumi watakaoumia zaidi sio viongozi wa Ccm ni wananchi maskini
 
Kilamahali amesha chafua. Mahakama,tumeya uchaguzi hats kwa msajili was vyama. Hatuna option nyingine no msaada toka kwa wenye silaha.
We can still fix this from within tusitake au tusitamani kuwekewa vikwazo vya uchumi tutaumia zaidi kulikoni kufaidika
 
Back
Top Bottom