Regime Change Inakuja Tanzania.

Regime Change Inakuja Tanzania.

Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
We kichaaa
 
Ilikuwa zamani, siyo sasa. Kwa kipindi hiki, ukiigusa Tanzania, umemgusa mu-China. Wathubutu waone moto utakavyowawakia. . Sasa hivi na Korosho zinabanguliwa huko Mtwara halafu baadaye zitakwenda China tena kwa Super Profit! We unacheza nini!
 
I hate people who have tunnel thinking capacity, get out there and have fresh mind brother.

Huwezi kuajili tu eti kwasababu watu wanagraduate, serikali ina fanya mambo kulingana na demand, plans, efficiency na priorities za wakati husika. Kanye West ashawahi sema kwenye wimbo wake wa Good morning Album ya Graduation kwamba "people are graduating but we are still stupid"

Darasa la saba wanajiajili baadae wanakuja kuwaajili graduates, what a shame.

Hakuna sehemu watu wanatwangwa risasi hadharani kama USA, labda kama macho yako yanamatege na masikio yako yametiwa pamba za maiti.

Putin ni Mzungu, nenda kwenye nchi yake fuatilia kama waandishi wa habari wanaweza kuandika uharo akawaacha salama, wamemfanyaje?

Shughuli za maendeleo huzioni mpaka unaulizia hela ambayo hapo mwanzo hata haijulikani ilikuwa inafanya nn, mwenye macho haambiwi tazama.
Rubbish
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Unataka kusema kuwa Rais aondolewe madarakani kabla ya uchaguzi ? Kumbuka Gorbachev, Hugo Chavez, Mugabe,Gbagbo, Mkaburu, Ghadaffi, Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan na Milocevich walijifanya Marais wa Maisha. Je, Rais Magufuli kamaliza awamu ngapi kwenye Urais ?
 
Wewe chapa kazi tu. Usikose usingizi kwa kudhania kiama ni kesho. Hizo fikra ni sawa na fisi anayemfuata mtu akitegemea mkono unaoning'inia karibu utadondoka aule. Mbona Fidel Castro mpaka Mola akamchukua hawakufua dafu? Vipi na Korea ya Kaskazini? Vietnam nako walipiga mabomu kuzidi mabomu yote yaliyopigwa katika Vita Kuu ya dunia lakini Mvietnam anatumia bunduki yake ya gobole na akafanikiwa kuwadhibiti Marekani. Kama serikali inafanya inachokiamini kwa manufaa ya nchi yake hakuna cho chote
kitakachotokea.
Mpaka itakapo Fanya kwa manufaa ya nchi take, lakini sasa inafanya kwa manufaa ya mtummoja na kikundi chake. Hiyo support ya Vietnam hats ipata, ajaribu aone kama hatakuwa peke take. Watu uwafanyie uovu akija mbabe zaidi yako unategemea wakuunge mkono? Nakwambia wataungana na mbabe wako kukutokomeza.
 
Mjinga ni mtu asiye na elimu juu ya jambo fulani, wewe ni "Mjinga" maana hujui ukweli wa unayoyasema, unapotosha jamii ili roho yako isuuzike,
Walinzi wa Rais ni vijana wa kitanzania ndugu zetu, na ndiyo wenye jukumu hilo, hakuna uwezekano wowote wa watu wa nje kuja ikulu kulinda rais wetu.

Elewa hivyo, ushabiki wenu pelekeni facebook.
Uwongo
 
Regime change? Why msubiri wazungu wawafanyie regime change? Kama hamuutaki utawala si muutoe tu 2020? Hao wazungu regime change zao huanza kwa vikwazo vya uchumi ambavyo huumiza zaidi wananchi kuliko watawala na hufanya hivyo ili wananchi wachukie waingie barabarani ila mpaka ifikie watanzania waingie barabarani uchumi utakua umekufa kabisa maana watanzania sio watu wa vurugu. Tumieni masanduku ya kura kubadili viongozi msiombe kuwekewa vikwazo vya uchumi maana wanyonge ndio mtaumia na sio watawala
Kilamahali amesha chafua. Mahakama,tumeya uchaguzi hats kwa msajili was vyama. Hatuna option nyingine no msaada toka kwa wenye silaha.
 
Inawezekana kama nchi haiko salama.

Kwani wanaweza kuwapandikiza wakina Lissu na kina Zitto na kuminya kwa makusudi uchumi kususia dhahabu ya Tanzania na kususia Korosho na mazao muhimu kwa nchi kwenye masoko ya dunia. Kipaya zaidi na zaidi ni kupiga marufuku mtu au mabenki kufanya biashara na Tanzania (hapo ndipo hali ya zimbambwe itakapoanza kunukia kwa karibu. Muhimu ni wananchi kushikamana na kuwa wamoja. Hata mimi mambo ya kulazimishana lazimishan huwa siyapendi kabisa.
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
kwa kuwa ni mawazo yako sikubishii,ila kwa mawazo yangu tafakari yafuatayo
mosi, mapinduzi ya kiungozi yameleta faida au tabu na majuto kwa wazawa?(maana wengine wana marafiki na wana uraia pacha na wengine si wenzetu ni wa ughaibuni)
pili,unadhani hao wazungu wanatupenda kwa moyo?yaani shida zetu kwao muhimu?
tatu,kuna nchi iliendelea kwa kutumia misaada ya wahisani?
km majibu yatakuwa hapana usije ukafurahi mbinu hizo maana hakuna kiumbe anaekufa pasipo kutapatapa na madhara ya kutapata ni makubwa ikiwa anaekufa anajiona anachinjwa sio anakufa akiwa usingizini na mwisho wa siku damu inatapakaa km sio mbugani basi chumbani
 
Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"

Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu

Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?

Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Na kwa taarifa yako wakishafanya regime change wanaweka kibaraka wao kama ilivokuwa kwa Karzai wa Afghanistan.
Na hiyo new regime itawanyonya mpaka mkome.
Au wanaiacha nchi ianguke kwenye machafuko huku wao wakila shushu na maliasili zenu.
 
Back
Top Bottom