Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Sirro atatumwa awatie ndani wate, Mroto atawashushia kipigo cha mbwa koko.Mbona wanachelewa wafanye sasa hivi
Watapata tabu sana
Sirro atatumwa awatie ndani wate, Mroto atawashushia kipigo cha mbwa koko.Mbona wanachelewa wafanye sasa hivi
Utasubiri SANA na hayatokeiWatanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Unadhani unajua kumbe hujui kitu kakaUnachanganya mambo. Wenzetu wapo very strict kwenye mgongano wa kimaslahi.
Halafu huyu bwana hakuwahi kuwa mbunge wala waziri wakati wa Mwalimu. Nadhani kipindi cha mwalimu alikuwa lab technician wa Nyanza Cooperative Union.
Mamlaka ya Chadema kumtaja Lowassa kama ni fisadi yalitoka kwa nani? Ukinijibu hapo nitashukuruKwa hii nchi yetu hakuna mfumo utakudhibitishia mali ipi ni ya nani kwani sheria haziwahusu waliopo madarakani. Hatuna mamlaka inayoweza kutaja mali zinazomilikiwa kifasadi na mtu mwenye madaraka. Kwa hiyo kutuambia ushahidi wa mali ya kiongozi ni kama unatuona watoto.
Mamlaka ya Chadema kumtaja Lowassa kama ni fisadi yalitoka kwa nani? Ukinijibu hapo nitashukuru
Box la kura lipi mkuu, hili hili ambalo Polisi na Ccm wanaweza kundoka nalo likiwa tupu na kulirudisha limejaa na Tume ya uchaguzi ikalitambua na kulihesabu na mccm akashinda kwa kishindo?Siungi mkono mapinduzi ila nitaunga mkono mabadiliko kupitia box la kura.
Mamlaka ya Chadema kumtaja Lowassa kama ni fisadi yalitoka kwa nani? Ukinijibu hapo nitashukuru
Tununulie microscope tuone mazuri ya jpmNdo maisha ya Watanzania walio wengi kuishi kwa dhana badala ya uhalisia kwa yanayoonekana.Hivi ni kweli huwa hamuoni mazuri ya Mh Rais?
Huyu MTU amefeli uongozi, arudi kwao chato akafuge mbuzi tu.Unadhani unajua kumbe hujui kitu kaka
"First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000"
Mwalimu kafariki 1999 we unabisha nini sasa?
Kuhusu mgongano wa maslahi wa Trump analalamikiwa na wazungu wenzake sio mimi.
Tatizo lako nimelielewa. Ebu nenda Marekani leo na ukae wiki 2 tu. Na kila siku angalia news tena masaa 24. Halafu niambie Tanzania itatajwa mara ngapi? Jibu ni zero.Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
WAHITIMU WA VYUO VIKUU INTAKE NNE HAWAJAAJILIWA,WATUMISHI HAWAJAPANDISHWA MISHAHARA.Wapigaji Tanzania walikuwa wengi kiasi kwamba ikawa ni Tabia ambayo ni kama ngozi sasa, nasikia vilio kila kona ya mji baada ya Dr. Kuanza kuzichuna hizo ngozi sasa, ushahidi ni comments nyingi za hapo juu, bado kuzibanika tu nyama zenu kabisa tule ndafu. Mtasubiri sana na madua ya kuku kwa mwewe na bado mtanyakuliwa
Mkuu unakumbushwa tuu, 1995 Mwalimu hakuwa President...,Unadhani unajua kumbe hujui kitu kaka
"First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000"
Mwalimu kafariki 1999 we unabisha nini sasa?
Kuhusu mgongano wa maslahi wa Trump analalamikiwa na wazungu wenzake sio mimi.
Nilipumbavu tu hili hata halijielewi. Kwanza kiswahili limeandika ujinga-ujinga tu! Eti majeshi kutoka mbinguni..fisi maji kweli.UONGO.
Wacha kutuona hamnazo!
Hao wazungu labda wakuwekee kiongozi wa magetoni kwako ila kutuwekea kiongozi wa hili taifa wasahau.......kama wanajiamini wajifanye kama wanajikuna tuWatanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
na wakulima wa korosho nao walikuwa wapigaji?Wapigaji Tanzania walikuwa wengi kiasi kwamba ikawa ni Tabia ambayo ni kama ngozi sasa, nasikia vilio kila kona ya mji baada ya Dr. Kuanza kuzichuna hizo ngozi sasa, ushahidi ni comments nyingi za hapo juu, bado kuzibanika tu nyama zenu kabisa tule ndafu. Mtasubiri sana na madua ya kuku kwa mwewe na bado mtanyakuliwa