Wakuu,
Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu. Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu. Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu, hivyo kuipeperusha bendera ya CHADEMA katika jimbo hili.
Nimeandika historia kwa kuwa kijana wa kwanza kugombea kwenye jimbo hili tangu kurudi kwa mfumo wa vyama vingi kwa vyama vyote vilivyowahi kusimamisha wagombea ubunge kwenye jimbo hili. Ni mtaji kwangu..
Tuko pamoja...Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Tafadhali naomba msiniulize nagombea jimbo gani. Ni jimbo moja la Mkoani, Wilaya yenye jimbo moja.. Zaidi ya hapo usiniulize.
Alunta continua
Mkuu hapo penye kuhusu ajali, ni kweli hizi barabara zetu unahitaji uangalifu wa hali ya juu especially on long trips, na madereva wa big tucks, mabasi na semi trailers...Ni pigo na pengo lisilozibika,
Natoa pole zangu binafsi na familia kwa ninyi nyoote na jamaa wa marehemu.
Amen.
HIZI AJALI hizi?!!
Ni kweli kabisa kwamba hadi mda huu haija patikana picha yake?
Sio wote tutakaopata wasaa kwenda kuuaga mwili wake.
Nimeona josephine anadai kaweka facebook,...ina husu nini kutoweka hapa picha?
Mtoa habari tuambie bana kuwa it is not true
naomba mnisamehe natumia simu na sioni option ya kuapload picha hapa JF.ila tumeuhifadhi mwili Muhimbili,tunaelekea nyumbani kwenye msiba nyumbani kwa baba yake,Tabata Changombe,barakuda.