May Allah rest her soul in eternal peaceHabari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.
Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.
Habari hizi zimethibitishwa.
Inna li Llahi wa Inna iLlahi Rajiun.
I am shocked. Big blow to us all.
kwa kweli imeniuma sana, lakini ndo hivyo tena. RIP REGIA, that is all we can say for nowjust too soon Preta
it is hard to accept
RIP my dear Friend
Poleni sana JF Members
Hakuzaliwa nao lakini alipata ajali wakati wa michezo ya utotoni. Kutokana na huduma kuchelewa kutolewa ndio maana akapata ulemavu.sorry mkuu naomba kuuliza.! Huu ulemavu alizaliwa nao au ulisababishwa na ajari.?