Mkuu hapa kila mtu ametaharuki! Hatuamini kilichotokea! Very Very Big Shock!!!Mmmhhh hii habari imenishutua mno, RIP Regia.
Pole sana kwa ndugu na marafiki, hili ni pigo kubwa kweli kweli. Nimeshindwa kuamini, why Regia?
wajipange upyastar tv wanasema ajali imetokea hukohuko kilombero
mimi jamani sioni kitu au mimi tu? Hapa naona herufi za bluu tu!!