Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana.
Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross linaendelea lilipoishia. Najuzwa laandikisha familia za wahanga. Wameaanzia Arusha tangu talehe 6. Kwa Dar najuzwa kazi hiyo ilianza jana usiku maeneo ya mbezi kwa Msuguri. Nye Nye nyie. Tayari mashirika yasiyo ya kiserikali yataingia kazini huku mengine yakidhaminiwa kwa siri kubwa na nchi jirani iliyopo magharibi mwa nchi ingawaje NGO hizo siku zote zajulikana zapokea misaada kutokea nchi za ulaya. Miye sijui walahi. Na bado
 
Mr Q hao wadudu wenu wacha waendelee kukanyaga mavi. Walahi tutawavuna. Na bado
 
Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana.
Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross linaendelea lilipoishia. Najuzwa laandikisha familia za wahanga. Wameaanzia Arusha tangu talehe 6. Kwa Dar najuzwa kazi hiyo ilianza jana usiku maeneo ya mbezi kwa Msuguri. Nye Nye nyie. Tayari mashirika yasiyo ya kiserikali yataingia kazini huku mengine yakidhaminiwa kwa siri kubwa na nchi jirani iliyopo magharibi mwa nchi ingawaje NGO hizo siku zote zajulikana zapokea misaada kutokea nchi za ulaya. Miye sijui walahi. Na bado
Father huna baya
 
Mpango upoje upande wa mamlaka
 
Msaada pekee tunaohitaji ni bunduki.

Give us AK47 to show CCM that,we the citizens are the real owner of this beautiful country.
 
Unaposhuhulikia jambo ambalo kwako unaona ni tatizo uwe makini. Maana mambo mawili yanaweza kutokea
1) Ukazalisha tatizo lingine kubwa
2) Ukafanikiwa kutatua tatizo
CCM mliona kuua ni njia sahihi lakini mmezalisha tatizo kubwa sana
 
Police mpaka sasa wameshindwa kutoa orodha ya waliouwawa, kupotea au kushikiliwa vituoni, acha wengine wafanye hiyo kazi.

Polisi tutawasaidia raia muwe wavumilivu na bado
 
Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana.
Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross linaendelea lilipoishia. Najuzwa laandikisha familia za wahanga. Wameaanzia Arusha tangu talehe 6. Kwa Dar najuzwa kazi hiyo ilianza jana usiku maeneo ya mbezi kwa Msuguri. Nye Nye nyie. Tayari mashirika yasiyo ya kiserikali yataingia kazini huku mengine yakidhaminiwa kwa siri kubwa na nchi jirani iliyopo magharibi mwa nchi ingawaje NGO hizo siku zote zajulikana zapokea misaada kutokea nchi za ulaya. Miye sijui walahi. Na bado
Siri mpaka umeijua wewe na kisha unakuja kuiweka JF hakika siri sirini.
 
Msaada pekee tunaohitaji ni bunduki.

Give us AK47 to show CCM that,we the citizens are the real owner of this beautiful country.
Naona mwanangu wakkupa ule mjegeja wa arnold swaziniga unaweza ukavamia bungeni kazi ni kumimina tu😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom