RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,087
Reaction score
5,352
Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%.

Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na miongoni mwa nchi kumi bora duniani katika kupunguza pengo la kijinsia kwa angalau 85%. Dira2050 imeipa kipaumbele eneo hilo kwa sababu tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa wanawake ufanisi wa wanawake katika nafasi mbalimbali za utedaji ni mkubwa kuliko wa wanaume, kwa mfano kwa mujibu wa utafiti wa Harvard Business Review (2019) imeonesha kuwa ufanisi wa wanawake katika utendaji ni 84% zaidi ya wanaume. Katika kuunga mkono shabaha ya dira na tafiti mbalimbali, Rais Samia ndani ya miaka minne ya awamu ya kwanza ya uongozi wake Rais Samia katika majaji 83 aliowateua tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% ni wanawake
 
comment fupifupi ukizingatia manawake wanahuruma sana
 
Mjinga mmoja wewe, Idadi ya Wanawake kua Majaji, imeleta Impact gan katika Utoaji wa HAKI Mahakaman ? Umezuia Serikali kutoingilia Mahakama?.

Chawa mwisho wenu umefika ,hamtakuwepo tena
 
Upumbavu Pro max
 
Huyu mama ametuonyesha dhahiri ya kuwa MWANAMKE HAPASWI KUWA KATIKA NGAZI YOYOTE YA MAAMUZI! TOFAUTI NA NNGAZI YA FAMILIA TU! Tena kwa msaada wa Mumewe!
Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%.

Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na miongoni mwa nchi kumi bora duniani katika kupunguza pengo la kijinsia kwa angalau 85%. Dira2050 imeipa kipaumbele eneo hilo kwa sababu tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa wanawake ufanisi wa wanawake katika nafasi mbalimbali za utedaji ni mkubwa kuliko wa wanaume, kwa mfano kwa mujibu wa utafiti wa Harvard Business Review (2019) imeonesha kuwa ufanisi wa wanawake katika utendaji ni 84% zaidi ya wanaume. Katika kuunga mkono shabaha ya dira na tafiti mbalimbali, Rais Samia ndani ya miaka minne ya awamu ya kwanza ya uongozi wake Rais Samia katika majaji 83 aliowateua tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% ni wanawake
 
Kwan Ishu ni kuwa na majaji tu wanawake, au kuwa na majaji wenye kukidhi vigezo kutokana na taaluma zao na weledi?? Na kama ishu ni kujaza tu wanawake wawe majaji, lengo lake hasa ni nn??
 
UPUUMBAFU MTUPU! TUNAWAWEKA KWA KUWA WANAWEZA AU KWA KUWA NI WANAWAKE? HII INA TOFAUTI GANI NA HUYU KILAZA WENU WA SS?
 
Kwan Ishu ni kuwa na majaji tu wanawake, au kuwa na majaji wenye kukidhi vigezo kutokana na taaluma zao na weledi?? Na kama ishu ni kujaza tu wanawake wawe majaji, lengo lake hasa ni nn??
sawa
 
Mjinga mmoja wewe, Idadi ya Wanawake kua Majaji, imeleta Impact gan katika Utoaji wa HAKI Mahakaman ? Umezuia Serikali kutoingilia Mahakama?.

Chawa mwisho wenu umefika ,hamtakuwepo tena
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kung’ara kama kiongozi wa mfano barani Afrika, akibadilisha taswira ya Tanzania kupitia uongozi wenye dira, maono na vitendo vinavyogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Kupitia uwekezaji mkubwa katika miundombinu ya mawasiliano, elimu, afya, maji, nishati na barabara, Rais Samia ameifanya Tanzania iwe kinara wa mageuzi ya maendeleo na chachu ya ustawi wa wananchi. Ameweka msisitizo katika uwazi, diplomasia ya kiuchumi, uwezeshaji wa wanawake na vijana, huku akihakikisha kuwa kila shilingi inayowekezwa inaleta matokeo yanayoonekana. Hatua zake za kuboresha huduma za jamii na kuimarisha uchumi zimeongeza heshima ya nchi kimataifa, na leo Tanzania inatambulika kama taifa lenye uthabiti, matumaini na mustakabali imara chini ya uongozi wake thabiti na wenye dira.
 
Back
Top Bottom