Reasons Why I love CACICO

Mke wa ujana wangu.......... Nimeumia sana aisee!!

Ni wewe tu umebakia. Ni wewe tu wa moyoni mwangu.
 
Mke wa ujana wangu.......... Nimeumia sana aisee!!

Ni wewe tu umebakia. Ni wewe tu wa moyoni mwangu.

tupo pamoja mume wangu, bega kwa bega kuokoa ndoa yetu..........

Inabidi tutafute mbinu ya kumkomesha huyu...haiwezekani atangaze nia kwa mkemwanzangu
 

shemeji hapa nafungasha kwenda kwa babu, nataka pua ya Bujibuji ihamie kisogoni....haiwezekani aharibu faivusamu
 
Last edited by a moderator:
kwa mamlaka niliyopewa na wanafunzi wangu Kaizer na Asprin kulinda mali zao popote zinapoonekana zinamendewa!
TAFADHALI cacico kanusha hii mineno kabla sijahairisha kipindi nimwambie mwanafunzi wangu akuje kudo ze nidful
:glasses-nerdy:

Mi sisemi cacico mpaka niwasiliane na Asprin
:confused2:

:shut-mouth:

:nimekataa
wapi babu Asprin?????? Umezidiwa mpaka unatafuta msaidizi?????????
😛op2:


Nyie wote hapo juu nawashukuru kwa kujali maslahi yangu.... Lakini hebu angalieni wenyewe hapa chini....


awwwwwww am humbly humbled my dear sweetheart Bujibuji!! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naomba chit catters wote mseme AMEN! period na sredi klosed till futher notice!

Mie pia nlifikiri masihara, lakini hebu someni hapa chini tena

cacico njoo shost wangu useme kama ilishatokea ukampenda mtu huyu ili wote tuseme ameeeeeeeeeeen

twapendana haswaaaaaaaaaa!! Tatizo lenu huwa hamuamini mpaka msikie watu wamenatana!!


Well, well well..........

Wanaume tumeumbiwa mateso na kuhangaika......

Asiyekubali kushindwa si mpinzani.

Imeniuma sana lakini hamna jinsi, wakati mwingine tunalazimika kuchukua maamuzi magumu.:A S 100:
 
Mapenzi yanawatatiza wengi, mimi nimeamua kubaki singo fo dhe rest ov mai laif...
 
aaawwww hivi ilikuwa vice versa ee shem wangu??? haya baba mie nipo naogelea raha za kupendwa tu! chezeiya baikoko la ukubwani??

nakupa muda tu na wewe utarudi na sredi la malawama.....usijali tutakupokea
 
Hommie utafanyaje? Hebu msome hapa chini.
baada ya kusema hayo, ODM akainamisha kichwa chake chini, akaisalimisha roho yake,,,

na tazama, pazia la chit chat likapasuka vipande viwili, na wale wanafunzi wake wakastaajabu jambo hilo. na Yule mwanafunzi wake aliyempenda akiitwa snowhite, akaondoka kwa huzuni
 
Last edited by a moderator:
Amiin amiin nawaambia, naweza libomoa hekalu la ChitChat na kulijenga kwa siku tatu.

Hommuie Kaizer, tuna nini mimi na wewe. Haujui muda wangu bado haujafika?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…