Reason... kila jambo linahitaji maandalizi.

Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
3,645
Points
2,000
Zeus1

Zeus1

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
3,645 2,000
hii kasumba wengi sana tunayo.
Wenye matumbo dizaini hii ni wale wanaosemaga" hili nikiliamulia wiki tu linatoka""kesho naanza mazoezi"kila siku inakua kesho kesho!mpk akija kushtuka tumbo kubwa mazoez hawezi tena anakata tamaa!
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
35,445
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
35,445 2,000
Huko ni Afya yako tuu, hakuna maigizo...

Anadhani huko ni kama vile kupita kwenye misitu ya Magoroto...


Cc: mahondaw
 

Forum statistics

Threads 1,343,116
Members 514,943
Posts 32,774,403
Top