Jamaa anatumbo baya asee
Hiyo ndio fact... haiteteleki hiyo.
Tumbo hili ni zao ya chakula cha ziada ambacho kulikosa kutumika...
Rejea baolojia uliosoma.
😬😬😬😬
Nzuri kwa afya kupanda kabla ya maandalizi... acha mambo mtu anaweza kufa hivi hivi unajua...
NdioUmeelewa ee
Yapo, unakuaje na tumbo hata kuokota kitu chini huwezi... napo mtasingizia mungu