real 1 munich 0 aggregate 2-2
Kwa kumbukumbuku unastahili kuitwa Dr. Palalisote.
Kila la heri Real Madrid na Fans wake wote mnaotembelea uzi huu!
Kuna local chanel inayoonesha?chritiano goli la kwanza.
Kila la heri Real Madrid na Fans wake wote mnaotembelea uzi huu!
mawazir wa jk hawana kipaj cha kumbukumbu
Hivi mimi nipo kwenye thread ya live mechi ya Madrid au nimepotea njia!!??Viva Prison mmerudi ligi kuu