NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
karata yangu naitupa kwa real madrid
Kama kawa.
karata yangu naitupa kwa real madrid
Katika mchezo huu kuna jumla za kadi za njano 11 kutoka game iliyopita kwa wachezaji 22 wanaoanza leo.
refa wa leo ni yule aliyochezesha fainali ya mwaka jana
real wanapata foul baada ya christiano kudondoshwa
Kwa kumbukumbuku unastahili kuitwa Dr. Palalisote.
asante siyo muda mrefu
real wanapata foul baada ya christiano kudondoshwa
ronaldo anauweka mpira kimiani ni baada ya beki wa munich kuunawa mpira