Real Madrid v/s Bayern Münich - Nani ataungana na Chelsea?

Kila la heri Real Madrid na Fans wake wote mnaotembelea uzi huu!
 
Inaelekea kamati ya ufundi ya Madred iko juu, sijui mganga wao wa bagamoyo?

munich wanakosa mabao ya wazi kabisa

goli ya 2 ronado tena.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom