Real Madrid v/s Bayern Münich - Nani ataungana na Chelsea?

chelsea tulishawachapa hawa tena nying sana kipnd cha mournh tena kocha alkuwa ktk ban atua ya robo fainal,
Chelsea ile sio hii na Bayern ile sio hii,hii Bayern imetengenezwa upya ya wachezaji vijana na wengi wametoka kwenye academy yao.Backbone ya timu ya Ujerumani yote iko Bayern(Neur,Alaba,Lahm,Badstuber,Boateng,Lahm,Kroos,Muller,Bastian,Gomez)
 
Halafu huyo Alaba ni Mgogo, lakini hajatokea na wala hajawahi kuishi ktk jimbo la Mtera ambalo ndilo jimbo linaloongoza kwa kuwa na Masakala wengi pale Dodoma na tanzania kwa ujumla.
Nadhani Mbunge wao mnamjuwa.

Thats all folks
 
Morinho angeenda final tusingekunywa pale Spain, afadhali kakosa ajipange tena. Kakosa penalty si messi tu any one can miss.
Now Barcelona haters does Morinho era on the way

Mkuu umenena Maurinho angetamba sana
 
KAKA wa ukweli alikuwa yule wa AC Milan

Uko correct Belo...
Fainali ya mwaka 2007 pale Greece, Kaka alimpa pasi Inzaghi ambapo Duniani koote mpaka Mbinguni walijuwa ni Offside.
Pasi hiyo iliyozaa Goli la pili kwa Super Pippo na kwa AC Mila ni pasi yangu ya 6 kwa ubora tangu nilipoanza kuangalia Mpira.
Pasi bora namba moja mpaka namba 3 zinashikiliwa na Ronaldinho Gaucho, kisha pasi inayoshika namba 4 inashikiliwa na Manuel Rui Costa, pasi namba 5 imekwenda kwa Baby Luis Mfede wa Abajalo ya Sinza na Kaka anashikilia pasi bora namba 6...
 
Penati ya Ramos kama ya Jaap Stam wa Uholanzi

Umenikumbusha hii mechi...
Mlinda mlango wa Buluda Francesco Tordo alisema hata ile mechi ingechezwa siku 3 basi waholanzi wasingeweza kushinda japo walikuwa wanacheza nusu fainali ile palepale kwao Amsterdam Arena.
Nakumbuka siku hii italy iliongozwa na ukuta wa Chuma ukiongozwa na Simba Dume Paolo Maldini, Gianluca Zambrota kisha 4-5 walisimama nguli wawili Fabio Canavaro na Alesandro Nesta aliyemshikisha adabu Kluivert usiku huo.

Forza Azurri
 
Mpira sio majina ya wachezaji siku hizi. Ona juzi nae Mess anakosa penat ambayo ndio ilikua tegemezi

Hata Nessi angefunga ile penati still wangeshinda 3-2 na wangekuwa wamechana.

Siku ya kufa mbwa pua zote zinaziba.
 
Uko correct Belo...
Fainali ya mwaka 2007 pale Greece, Kaka alimpa pasi Inzaghi ambapo Duniani koote mpaka Mbinguni walijuwa ni Offside.
Pasi hiyo iliyozaa Goli la pili kwa Super Pippo na kwa AC Mila ni pasi yangu ya 6 kwa ubora tangu nilipoanza kuangalia Mpira.
Pasi bora namba moja mpaka namba 3 zinashikiliwa na Ronaldinho Gaucho, kisha pasi inayoshika namba 4 inashikiliwa na Manuel Rui Costa, pasi namba 5 imekwenda kwa Baby Luis Mfede wa Abajalo ya Sinza na Kaka anashikilia pasi bora namba 6...

Kuna majina ukisikia unaweza ukabaki unamwaga chozi!huyo iniesta sijui fabregas naamini ni bahati tu wapo walipo ukiwafananisha na baby luis mfede wa abajalo!huyo fundi alikuwa hafai kwa pasi na kulikua kabumbu!dah!leo mfede wa kuchimba makaburi kweli bongo soka lina laana!nikimkumbuka mfede wa abajalo,kuna mwendawazimu mwingine mwananyamala alikuwa anaitwa abdallah kilewo huyo kumkaba kwake kadi ya njano lazima ikuhusu kama siyo nyekundu, na miaka ya karibuni gulla joshua akiwa magic power ya mwananyamala kabla hajaenda toto africa, palson kisha yanga moto wake ulikuwa wa tipper!top scorer yeye goli 15 kacheza match 7,anayemfuatia ana goli 7 kacheza match 15
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom