Tetesi: Kylian Mbappe kuvaa jezi ya Real Madrid msimu ujao

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Taarifa za uhakika kuhusu usajili wa Kylian Mbappe zimeeleza Staa huyo wa Paris Saint-Germain ambaye yupo katika miezi sita ya kumalizia mkataba wake anatarajiwa kujiunga na Real Madrid akiwa mchezaji huru.

Inadaiwa Mbappe ambaye anaruhusiwa kuzungumza na klabu yoyote kwa sasa kuhusu usajili wake, amekubaliana na Madrid kuhusu maslahi yake na mambo mengine kadhaa licha ya kuwa Liverpool nayo ni moja ya Klabu inayoonesha nia ya kutaka kumsajili.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa dau la mshahara ambalo Liverpool wametenga kumpatia ni kubwa kuliko kiwango kilichotengwa na Madrid lakini Mbappe anaweza kwenda Hispania kutokana na historia ya mafanikio ya Madrid katika kutwaa mataji.


#####


Kylian Mbappe 'will JOIN Real Madrid on a free transfer from Paris Saint-Germain this summer after reaching an agreement with Spanish giants' - just 18 months after superstar rejected a move to the Santiago Bernabeu

Kylian Mbappe will join Real Madrid next season after reportedly reaching an agreement with Los Blancos earlier in the week - according to Foot Mercato.

The last two summers have seen both Mbappe and Real Madrid involved in transfer sagas, with all things seemingly pointing towards a stunning move on both occasions. However, Real were left red-faced on both occasions.

Therefore, Real Madrid were eager to avoid a third defeat when discussing a potential transfer with Mbappe - who will be out of contract at the end of the season.

Mbappe was free to negotiate with other clubs from January 1 as he had officially entered into the last six months of his PSG contract. Therefore, Real Madrid began negotiating with the 25-year-old soon after.

Source: Daily Mail
 
Nimefurahia Sana PSG wamechukua wachezaji wengi wakubwa kwa kisingizio cha free agent, Sasa ni zamu yao kupoteza mchezaji wao mkubwa Kama free agent.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom